Brightdeemed
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 291
- 138
Tuseme katika jumuia ya Africa Mashariki, hawa machori chori wameikamata na wanaitafuna sana Tanzania, huu upuzi wao huukuti nchi za wenzetu, yani Tanzania shamba la bibi, wahindi ni jipu
Inabidi ifanyike sensa tanzania nzima kwa ajili ya wageni wa ki-asia tuweze kuwatambua lini waliingia , kwa muda gani wamepata uraia wa tanzania, nani amewapatia, na tujue idadi kamili ya waliopo. pia tuweke idadi ya hawa watu kuingia nchini kwa mwaka, na wakiingia lazima wasigin makubaliano ya vitu ambavyo hawatakiwi kujihusisha navyo, pia tuwajulishe kuwa haiwezekani na hairuhusi kwa nchi hizo kupata uraia nchini hata kama watakaa miaka hamsini ili tupunguze idadi yao. Kingine waje tanzania kama wafanyabiashara tu na waajili wazawa. Company zao zikaguliwe kujua idadi ya watanzania walio ajiliwa.
\
This is too extreme by all standards,
It is important not to violate our values and mostly important, the values to support human rights of any, and livelihood to all mankind..
Baba yangu mhindi mama mtanzania mweusi.Nimezaliwa tanzania na kukulia hapa.Nimesoma shule za serikali mpaka Chuo Kikuu sasa nimeajiriwa na serikali kama Mhandisi.Je na mimi nifukuzwe?
Death to all indians
No,HAPANA, iwe hivi,tuwachunguze viongozi wote wa nchi tangu Mwinyi.Weka ndani hao hadi watapike walichopewa na hao wahindi na kwa sasa hata wachina. Tuanze na ba'riza-uwa-one tushuke chini.
Solution sio kuwafukuza inatakiwa kuwadhibiti then ataenyoosha mikono ataondoka mwenyewe. Mfano tukisimamia sheria za uhamiaji na vibali vya ajira wataondoka wenyewe.
Ujinga huu.... fair ground zipi unataka? Kuna mtu amewahi kuzuiwa biashara sababu ya weusi wake? Wahindi ni wazoefu kwenye biashara, pamoja na madhaifu yao, tujifunze kwenye mbinu zao ili tuweze kwenda mbele. Otherwise, tutakuwa tunajitekenya halafu trunacheka wenyewe.Tumechoka kunyanyaswa kwenye nchi yetu.hawa raia wa kihindi wanaojifanya watanzania wametunyonya vya kutosha , wametutumikisha, wametudharau, wameshika uchumi wetu kwa muda mrefu tena kwa njia zisizo halali. MH. Rais Magufuli nakuomba uwadhibiti hawa wahindi .haiwezekani mhindi anafanya biashara Tanzania pesa anaweka UK au Canada hii ni dharau wanaionaje nchi yetu?
wanajiita watanzania lakini values and customs zetu wanazidharau. Pls mimi siyo mbaguzi wa rangi .
Huo unaitwa wivu, maana wivu ni pale unapotaka kitu si chako na Huzuni ni pale unapopotelewa na kitu chako.Unatakiwa nawe ufanye kazi kwa bidii kama una ushahidi si Upeleka polisi kuna mtu amevunja sheria.Tumechoka kunyanyaswa kwenye nchi yetu.hawa raia wa kihindi wanaojifanya watanzania wametunyonya vya kutosha , wametutumikisha, wametudharau, wameshika uchumi wetu kwa muda mrefu tena kwa njia zisizo halali. MH. Rais Magufuli nakuomba uwadhibiti hawa wahindi .haiwezekani mhindi anafanya biashara Tanzania pesa anaweka UK au Canada hii ni dharau wanaionaje nchi yetu? wanajiita watanzania lakini values and customs zetu wanazidharau. Pls mimi siyo mbaguzi wa rangi .
Kilimo ukiamua kumuangalia mtu negatively hakuna la maana utaliona. Mimi ni mweusi, nimechukua muda kujifunza kwanini asians are so successful kwenye biashara na kwa kuchukua mazuri yangu na kuyafanyia kazi, nimefanikiwa kutoka katika rat race na sasa nipo huru kiuchumi.Mkisema tuige mbinu zao za kufanya biashara, wengi wao hawaendeshi biashara zao kiuhalali, ndio palepale tutaifilisi nchi yetu, maana itabidi:
Nini itakuwa suluhu ya haya mambo yote na mengineyo tusiyoyajua? Marry Hunbig Faridi
- Tukwepe kodi kama ............ ya yuleyule singasinga (singasinga ni mhindi?)
- tufanye ufisadi kama ule wa EPA (ktk hili kuna implicated indians walihusika)
- Tuendeshe biashara zetu kwa rushwa kama wao?
- Tuwe wahujumu uchumi kama akina CHAVDA (Chavda alikuwa mhindi?)
Kwa akili yako tuwaue wahindi kwakuwa wezi, matajiri, wanakaa katika magorofa, wana kila tabia mbaya, sasa tukisha waua nini kitokee, tuchuke nyumba za, biashara zao,na mali zao tumpe nani. Mchaga, mzaramo, mhehehe, mmasai nk.Death to all indians
Kwa akili yako tuwaue wahindi kwakuwa wezi, matajiri, wanakaa katika magorofa, wana kila tabia mbaya, sasa tukisha waua nini kitokee, tuchuke nyumba za, biashara zao,na mali zao tumpe nani. Mchaga, mzaramo, mhehehe, mmasai nk.
Huoni kama baada ya muda wachaga wakitajirika na kujiendeleze itabidi nao tuwaue, huo ndio myororo wa ubaduzi na wivu unavyoenda, mwisho kabisa tutauana wenyewe kwa wenyewe ndiyo maana unapigwa vita ulimwenguni kote.
Ni hasara kuona karne hii kuna watu wana fikra na chuki kama zako, unaonekana ukikutana na mhindi unaweza amua kumuua bila sababu.