Mh.Mkuu wa mkoa wa Dar Makonda, sema neno moja tuu na parking ya Mwenge irudi

Mh.Mkuu wa mkoa wananchi wa Mwenge wanakupenda sana, Mh. mkuu wa mkoa wananchi wa Mwenge wanaupendo mkubwa sana na wewe wananchi wa Mwenge hawana tatizo lolote na ww mheshimiwa, embu sema neno moja tu na parking ya magari irudi kama mwanzo ilivyokuwa kabla ya kukataza magari yasipark eneo la mtaa wa Mwenge sokoni mh wetu mkuu wa mkoa wa Dar es salam.

Tunakuomba tunakuomba Mh tengua kauli yako Mh mkuu wa mkoa wetu
Ni matumaini yetu maombi yetu wakazi wa Mwenge nzansa yatapokelewa na yatafanyiwa kazi.

Tunakutakia kila la heri,na kazi njema

Njaa sasa inaanza ' kuwakolea ' wana Mwenge. Kudadadeki zenu na bado mtaisoma mno namba kwa ' Unafiki ' wenu.
 
Mh.Mkuu wa mkoa wananchi wa Mwenge wanakupenda sana, Mh. mkuu wa mkoa wananchi wa Mwenge wanaupendo mkubwa sana na wewe wananchi wa Mwenge hawana tatizo lolote na ww mheshimiwa, embu sema neno moja tu na parking ya magari irudi kama mwanzo ilivyokuwa kabla ya kukataza magari yasipark eneo la mtaa wa Mwenge sokoni mh wetu mkuu wa mkoa wa Dar es salam.

Tunakuomba tunakuomba Mh tengua kauli yako Mh mkuu wa mkoa wetu
Ni matumaini yetu maombi yetu wakazi wa Mwenge nzansa yatapokelewa na yatafanyiwa kazi.

Tunakutakia kila la heri,na kazi njema
Wewe umetokea kijiji gani wewe?huyo mtu tulisha msusa kipindi
 
Huyo Bashite kwasasa hata mkimuomba cash atawapa.
734df5d6c97e1e48d586ba3877586052.jpg
 
Unajua ndugu yangu wakati mkuu wetu wa mkoa anatoa amri hiyo aliitolea akiwa mwenge kituo cha polis,kwa hiyo mkuu wa mkoa anauwezo wa kuongea na rpc,ama mkuu wa kituo cha mwenge,na mambo yakarudi kama awali ndugu yetu,ss wananchi wa mwenge tunaupendo,na mkuu wetu wa mkoa ndugu yangu
 
Back
Top Bottom