Mh. IGP huyu polisi Shilembwe wa Mbezi akamatwe ni zaidi ya muuaji

Na nyinyi hao polisi wanaishi mitaani kwenu au wanaishi hapo hapo polisi na family zao?
 
Kituo cha Mbezi Wana matatizo sana,kuna siku wamewakamata wadogo zangu wawili kisawanapiga picha darajani Kimara,
Waliwapiga ovyo ovyo wakawalaza polisi ,
Siku iliyofuata tukaenda pale wanatujibu ovyo ovyo,dhamana ikakataliwa ila siku ya tatu tukampata afande mmoja akatusaidia.
Huku mitaani wakipita na defender Lao wanapewa 10000 wanaachilia watu wanavuta bangi na disco mpaka asubuhi.
 
Namba ulizotoa n za Congo ama wapi mbona tarakimu 11?
Ndiyo viashiria vya majungu hivyo

Huyo angeadhibiwa na kutoa vitu vya wizi kwa dalili za mtoa taarifa nadhani angemsifia askaei. Na sasa anamtuhumu kwa sbb 2 mali za wizi hazikupatikana
 
Bibi watu wakiwa wanajadili vitu vya msingi kama huwezi kuchangia ni bora ukaacha na sio kuwa mkosoaji muda wote.

Hivi wewe ni mtu gani mbona upo kama shetani.

Mtandao una faida zake na hasara zake, faida moja kuu ni kujifunza mengi ambayo hukujifunza shuleni au nyumbani kwenu. Hasara yake kuu ni pale unapoona makosa na kuyafumbia macho, huko kunaitwa kujazana ujinga.

Nikiona mtu anakasirika anapopewa ilm bila khiyana huwa nnajiuliza, hivi huyu shule aliyosoma alikuwa anasomea ujinga?

Vipi wewe, shule ulisomea ujinga?

Nisome signature yangu unieleze maana yake.

Ukikosea nnakukosoa - kumbuka hilo. Kama vile wewe ulivyojaribu kunikosoa hapa na ukasahau kuwa hii ni open forum.
 
Tofauti na kukosoa na kuita watu wajinga hakuna unachochangia cha maana

Unakuwa unawatoa watu kwenye mjadala kwa kuweka hizo habari zako.

Anyway ndo maisha yako nisikupangie
 
Tofauti na kukosoa na kuita watu wajinga hakuna unachochangia cha maana

Unakuwa unawatoa watu kwenye mjadala kwa kuweka hizo habari zako.

Anyway ndo maisha yako nisikupangie

Ingekuwa hujakiona cha maana usingepoteza muda kunikosoa.

Au limekupata?

Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako - JF.
 
ilm
khiyana
elimu
hiyana

Bibi usituharibie lugha kujifanya unajua sana kumbe huna lolote.
 
Kama ushahidi upo mbona ni suala dogo sana kumshughulikia! Nenda kwa mkuu wa wilaya ukiwa na ushahidi kamili..wala usikimbilie kwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa wilaya anamtosha sana huyo
 
Back
Top Bottom