Mh. Angellah Kairuki waache watumishi wa Umma wapambane na hali zao

Eeeeeeeh
Naandika ninayoamua mimi kuandika.. tatizo nchini watu wengi ni wavivu, hampendi kuambiwa ukweli na hamfikirii nje ya box.. kila kitu kulalamika.. ona ulivyosema nalipea.. yaani mlivyo wengi nyie.. Mungu atuokoe nchini hapa...
We siyo bure utakuwa muuza papuchi na hukatwi kodi hudaiwi na bodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo wanayofanya hata nchi zingine zinafanya kwa sababu tofauti.. sio la ajabu. Ni kuvuta subira tu.. wangesema hawapandishi au kuongeza hapo ingekuwa ishu kubwa ila sio haya watu kupenda kulalamika tu kama vile wao wanajua linalojiri... mnaboa shaaaaaa wote msio na subira ya kutaka kuona mazuri yanaendelea kutendwa awamu hii.
ZITAJE NCHI ZENYE "AKILI" ZITENDAZO HAYA !!
 
Hayo wanayofanya hata nchi zingine zinafanya kwa sababu tofauti.. sio la ajabu. Ni kuvuta subira tu.. wangesema hawapandishi au kuongeza hapo ingekuwa ishu kubwa ila sio haya watu kupenda kulalamika tu kama vile wao wanajua linalojiri... mnaboa shaaaaaa wote msio na subira ya kutaka kuona mazuri yanaendelea kutendwa awamu hii.
unanitaftia bann ya bure,
 
We siyo bure utakuwa muuza papuchi na hukatwi kodi hudaiwi na bodi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama ulipokulia ndio kazi inatawala.. usinileyee mimi upupwu wako.. na kodi ipo kwani ulipotafuta kazi uliambiwa hautalipa na ukaikubali!!!.. watu wengine mjibadili pesa za bure zileeeeeee zinaendeleza nchi... kaa jipige na vibao vya usoni ulie
 
Katika hali ya kuwakatisha tamaa watumishi wa Umma waliochoka kusikia Matamshi bila vitendo, Leo tena ameibuka Mh. Angellah Kairuki bungeni alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalum Susan Masele, na kusema kuwa nyongeza na upandishaji wa Madaraja kwa Watumishi uliathiriwa na Vyeti feki. Serikali itanza kupandisha madaraja muda wwote kuanzia Sasa.

Mhe. Angellah, Mungu anakuona. Mara ngapi mmetoa matamshi na ahadi tamu kwa watumishi? Je, yalitekelezeka? Majibu nafikiri unayo.

Hapa naomba utambue kuwa watumishi wa Umma sasa wako na nyoyo safi kabsa, walishajituliza kisaikolojia na walishapokea hali zao za kimaisha. Ili kutunza heshima yako tafadhali waacheni watumishi wapambane na hali zao. Walishajua kuwa kuajiriwa ndio chaguo lao, wale mihogo au mkate siagi yote maisha.

Mnapokuja na Matamshi yasio ya vitendo ni kuwasubua na kuharibu afya za kiakili.


Pitia kidogo hapa mwone jinsi watumishi walivyokata tamaa..
View attachment 582049
=#Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni#=

Sent using Jamii Forums mobile app
leo ni tarehe 25/9/2017.naikumbuka hotuba nzuri iliyojaa matumaini....ile ya tarehe 1/5/2017...daaa! MUNGU UPO !!
 
Back
Top Bottom