Mgonjwa anatoka Moro to Dar na treni ya umeme akifika Muhimbili anakosa dawa

Sijui ni nchi gani maskini duniani ambayo inatoa huduma za afya bure na kila kitu kikawepo,mijitu mingine kazi kulaumu tu,ukiambiwa fanyeni kazi na mlipe kodi hiyo mijitu ndio ya kwanza kukwepa kulipa kodi ,kazi ni kutwa JF kulaumu,haya toa ufumbuzi hakuna ,je umeifanyia nini Tanzania hakuna zaidi ya kuongelea Simba na Yanga
Hahahaha well said na dawa zikinunuliwa watasema hakuna train, afanalek kuna watu wana PHD ya kulalamika walahi
 
Subiri iishe uone kama haitatembea kwa sab Ya umeme
Wengine hupenda kudandia vitu wasivyojua tumeambiwa hiyo treni itatumia vyote umeme na mafuta na pia itakuwa na umeme wake,sasa mijitu mingine ishaanza kujenga daraja wakati hata haijui huo mto utakaojengwa daraja.
 
Umeme Wa kuendesha hizo treni utatoka wapi

Wakati majumbani tu umeme Wa kupimiwa
Hujui kwamba wafanya biashara wameruhusiwa kuja kuanzisha njia za umeme na kuuza kama vile simu za mkono? Ni aibu kubwa kwa mtanzania kulalamika kila siku huku foreigners wana create biashara, tutubu na kumwomba Mola aturehemu!
 
Wengine hupenda kudandia vitu wasivyojua tumeambiwa hiyo treni itatumia vyote umeme na mafuta na pia itakuwa na umeme wake,sasa mijitu mingine ishaanza kujenga daraja wakati hata haijui huo mto utakaojengwa daraja.
Uvivu ulio kithiri
 
Huku kijijini kwangu umeme mdogo au kutokuwa na umeme kabisa ni jambo la kawaida kabisa.
Poleni sana
Alafu wanatuletea treni za umeme
Nauli tu ya mabasi ya mwendo kazi watu tulitokwa povu la kutosha sasa sijui nauli ya treni za umeme itakuwaje
 
Sijui ni nchi gani maskini duniani ambayo inatoa huduma za afya bure na kila kitu kikawepo,mijitu mingine kazi kulaumu tu,ukiambiwa fanyeni kazi na mlipe kodi hiyo mijitu ndio ya kwanza kukwepa kulipa kodi ,kazi ni kutwa JF kulaumu,haya toa ufumbuzi hakuna ,je umeifanyia nini Tanzania hakuna zaidi ya kuongelea Simba na Yanga
Angalia picha utapata majibu.
 

Attachments

  • Screenshot_2017-04-19-07-59-06.png
    Screenshot_2017-04-19-07-59-06.png
    482.6 KB · Views: 17
Mtakoma mtasema kila aina ya kejeli but mbona hizo ni kelele za chura tu...tutafika
 
You do not know what you are saying!! Au nikupinga tu!!! Swala LA madawa hospital ni issue nyingine!! Lakini kama Mgonjwa anaweza kusafiri ni ukweli usiyopingika kuw anaweza kununua dawa sehemu nyingine ikiwa hapo hospitalini hazitakuwepo!! Ndo maana serikali inasisitiza watu kujiunga na bima ya afya ya taifa!! Yako maduka ya dawa yanakubari bima ya afya!! Pale Mgonjwa anaposafili kwenda hospitalini hafuati dawa tu Bali anafuata huduma inayojumuisha madaktari , vifaa na vipimo na madawa!! Sasa jiulize madaktari ,vifaa na vipimo viko muhimbili lakini Mgonjwa japo ana hela lakini usafiri Wa uhakika hamna!! Leo ndege ipo,treni ipo, !!! Mwache Mgonjwa afike hospital amwone daktari then apime vipimo!!! Tuache kumyumbisha rais wetu .acheni afanye kazi kwa AMANI ilmradi haibi!! Mnasema vipa umbele lakini mbona kuna vyama havina office Mkoani au wilayani!!!??? Use your brain to think and to correct someone else
 
Mi nadhani watanzania tuache ushabikiaji na mikumbo, nadhani ni wazi hata tukianza leo kushughulikia mambo ya afya tu hatutafika maana magonjwa yanaibuka kila siku na ubaya wa hii ni kwamba sisi ni wanunuzi na watumiaji tu kwahiyo ni muda wote kutoa fedha je unadhani fedha haziwezi kuisha? ni wazi train hiyo ukiacha kutoa ajira, kurahisisha usafiri inaweza pia source ya income kuendelea kuboresha huduma za afya! kama ndege tu watu wanazipigia keleleee lakini mimi nadhani ni wazo zuri hata kwa kijana wa kitanzania ajifunze kujinyima muda mwingine hata vitu vya msingi likija swala la kuboresha chanzo cha mapata maana ukifanikiwa inaweza kukusahaulisha matatizo yako ya badae!!
Swala last treni naliunga mkono100% licha ya ajira pia litasaidia usafirishaji wa mazao kutoka shambani usafiri wa wengi na faida nyingi tu kwa watu wengi hazihesabiki lakini ndege mmh kwa wachache sana na uendeshaji ni gharama kuanzia crew hadi mafundi kuna allowance lazima waliwekwa zaidi ya mshahara flight allowance licence allowance nk
 
Watu wenye akili ndogo ndio wanaopumbazwa na vitu kama hivi na kusahsu matatizo yao ya msingi.
 
Wakati fulani tuache ujinga twaweza tumia barabara znatosha tunataka mijisifa ya kuwa na vizuri wakati wagonjwa wanakosa dawa halafu kwa ujinga tunasaport anyway @ #$team ujinga $#&/
 
Kwani ukosefu wa Dawa kama upo hivi sasa umechangiwa na hiyo treni ya umeme wengine kazi yenu ni kulaumu tu,treni italeta maendeleo na dawa zitakuwepo tu,basi hata barabara za lami zisingejengwa kama tungeogopa kukosekana kwa dawa,maendeleo hayawezi kusimama eti tu kwa kuwa hospitali hazina dawa,na ni uongo hospitali zina madawa,punguzeni kuzaa kama simbilisi huku mkitegemea serikali iwanunulie panadol watoto wenu,zaa kwa mpangilio enjoy maisha na familia yako
Kati ya waziri wa Afya na wewe nani anayejua kuna dawa nchini, acha upenzi kipofu.
 
Back
Top Bottom