Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC

Kama ni kweli basi ACT ijiandae kwa matusi kutoka kwa wenye hatimiliki ya upinzani nchini.

Wagriki wana kamsemo kao kwamba "Don't trust the horse"

kalitokana na kale kastory ka Trojan horse.šŸ˜!

"Ēquo nē crēdite"
 
CCM lazima wadate sababu hawajui wa deal na nani? Lissu ama Membe!! Huku kuna Zitto huku kuna Mbowe...Huku Kuna Maalim Self huku kuna kina Mdee; Lema; Msigwa, Sugu!!

Kweli uchaguzi huu unakwenda kuandika historia mpya kwa taifa letu.


Kweli safari hii aibu inakwenda kumwangukia mtu.
 
Mgombea urais wa JMT mh Membe wa ACT wazalendo leo amechukua fomu za kugombea katika ofisi za tume ya uchaguzi jijini Dodoma.

Kila la kheri.

Source Eatv
Maendeleo hayana vyama!

Yaani madaraka ni kama betting, unajua kabisa huwezi kula ila lazima ucheze.
 
Mwenyekiti wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad na Katibu Mkuu, Ndugu Ado Shaibu wakimsindikiza Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya ACT-Wazalendo kuchukua fomu muda huu Makao Makuu ya Tume ya Uchaguzi Dodoma.

#KaziNaBata #TheFutureIsPurple
IMG-20200807-WA0035.jpg
IMG-20200807-WA0018.jpg
IMG-20200807-WA0017.jpg
IMG-20200807-WA0020.jpg
 
Mvuto wake ulikuwa kuleeeeeeee, aache uoga. Kitu Zima linamkimbia dume lenzake na kuhamia kwingine.
 
Berbard Membe ndo nani mkuu? Ebu jaribu kusoma vizur ulichoandika before ya ku post hapa
 
Membe tunamsoma tu. Kama hamuungi mkono Lissu hata huo Uwaziri Mkuu ambao angeupata baada ya Lissu kuwa Raisi atausikia kwenye bomba.

Anatakiwa aamke kama anataka kweli kuleta mabadiriko Tanzania. Ila kama nae ametumwa kama walivyotumwa wengine basi tunamwambia tu nae ataingia kwenye historia ya aibu mwaka huu. Ataenda kunyangā€™anyana iyo asilimia 30 atakayopata Magufuli maana TUNDU ANTIPAS LISSU anaenda kubeba asilimia 70 ya kura zote hapo October 2020
 
Back
Top Bottom