Mgombea Udiwani wa CCM atekwa usiku wa kuamkia leo

Magufuri amepandikiza hurka mbaya sana ndani ya wana ccm. yaani wanaanza kutekana wenyewe kwa wenyewe sasa
 
and the cows...
Hakika mwl JK NYERERE alikuwa kama vile nabii. Alisema kuwa ukizoea kula nyama ya mtu ahuachi. Ndicho kinachotokea sasa
IMG-20190721-WA0001.jpg


Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Usikute ni mpango wa kuanza utekaji wa wapinzani ili hili tukio la Mbinga liwe cover up.

CCM wa hovyo sana
Hata me nahisi hivyo, eti na kule Musoma kuna 'mgombea feki' kachukua fomu ya udiwani kwa post ya ccm baada ya ile ya Kibamba.
 
Mungu ibarilki Tanzania na Watu wake...hii waga ni dua jmn msihau hilo..
 
Back
Top Bottom