KUFUATIA MGOGORO WA CUF, KUNA VIJANA KUTOKA PEMBA KUJA KUVAMIA OFISI KUU BUGURUNI.
KUNA vijana wametoka Pemba wamepangwa kuja kuvamia OFISI KUU BUGURUNI kesho.
Vijana wengine wametoka Arusha nao pia wamepangiwa kuungana na wenzao ili kuvamia Ofisi kuu kesho.
MKURUGENZI wa Ulinzi CUF Mhe. MASOUD MHINA amesema wanazo taarifa zote na amekwisha WAPANGA Blue Guards kila idara.
Pia kunakikao Cha WAASI kitafanyika MABIBO na ninaweza kumshirikisha Maalim SEFU NDEVU CHAKAVU.
TUNAOMBA wahusika waheshimu SHERIA za nchi na wasithubutu kufanya kikao na kujitambulisha kwa VYEO sio vyao.
Wakishindwa kutii maelekezo hayo wasitulamu tutachukua hatua Kali kwa AFYA ya chama.
SASA JICHANGANYENI MUONE CHA MTEMAKUNI
JINI LIKITOKA KWENYE CHUPA HALIRUDI KAMWE.
CUF TUMEJITAMBUA HATURUDI NYUMA NI MBELE KWA MBELE MPAKA 2020.