Mgogoro wa CUF, Kuna vijana kutoka Pemba kuja kuvamia ofisi kuu Buguruni.

haaa haa naona cuf inaelekea kibra. watu wameanza kugombea mali za chama baada ya ruzuku kusimama..
 
WaPemba hapa Dar wapo 200,000
Usafi upo pale pale ...
1df56eebf6fff96fca8ba7b63e2354d7.jpg
 
9e64560215270258e41668ff1c600856.jpg

KUFUATIA MGOGORO WA CUF, KUNA VIJANA KUTOKA PEMBA KUJA KUVAMIA OFISI KUU BUGURUNI.

KUNA vijana wametoka Pemba wamepangwa kuja kuvamia OFISI KUU BUGURUNI kesho.

Vijana wengine wametoka Arusha nao pia wamepangiwa kuungana na wenzao ili kuvamia Ofisi kuu kesho.

MKURUGENZI wa Ulinzi CUF Mhe. MASOUD MHINA amesema wanazo taarifa zote na amekwisha WAPANGA Blue Guards kila idara.

Pia kunakikao Cha WAASI kitafanyika MABIBO na ninaweza kumshirikisha Maalim SEFU NDEVU CHAKAVU.

TUNAOMBA wahusika waheshimu SHERIA za nchi na wasithubutu kufanya kikao na kujitambulisha kwa VYEO sio vyao.

Wakishindwa kutii maelekezo hayo wasitulamu tutachukua hatua Kali kwa AFYA ya chama.

SASA JICHANGANYENI MUONE CHA MTEMAKUNI

JINI LIKITOKA KWENYE CHUPA HALIRUDI KAMWE.

CUF TUMEJITAMBUA HATURUDI NYUMA NI MBELE KWA MBELE MPAKA 2020.
we kambaya waambieni wanaokutuma nchi itavurugika hata tusiokuwemo tutaingia kuutetea haki ya upande halali.

mnajidanganya na haoabwana zenu. sasa ndo tunataka kuona selikari inapambana na wananchi
 
9e64560215270258e41668ff1c600856.jpg

KUFUATIA MGOGORO WA CUF, KUNA VIJANA KUTOKA PEMBA KUJA KUVAMIA OFISI KUU BUGURUNI.

KUNA vijana wametoka Pemba wamepangwa kuja kuvamia OFISI KUU BUGURUNI kesho.

Vijana wengine wametoka Arusha nao pia wamepangiwa kuungana na wenzao ili kuvamia Ofisi kuu kesho.

MKURUGENZI wa Ulinzi CUF Mhe. MASOUD MHINA amesema wanazo taarifa zote na amekwisha WAPANGA Blue Guards kila idara.

Pia kunakikao Cha WAASI kitafanyika MABIBO na ninaweza kumshirikisha Maalim SEFU NDEVU CHAKAVU.

TUNAOMBA wahusika waheshimu SHERIA za nchi na wasithubutu kufanya kikao na kujitambulisha kwa VYEO sio vyao.

Wakishindwa kutii maelekezo hayo wasitulamu tutachukua hatua Kali kwa AFYA ya chama.

SASA JICHANGANYENI MUONE CHA MTEMAKUNI

JINI LIKITOKA KWENYE CHUPA HALIRUDI KAMWE.

CUF TUMEJITAMBUA HATURUDI NYUMA NI MBELE KWA MBELE MPAKA 2020.
Kwahiyo unatakaje!?
 
chadema wanachangia sana kuiua kafu.Lema ameleta fuso zima la wanywa viroba toka Arusha waje kufanya fujo,sijui vichochoro vya buguruni kama wanavijua vizuri.Waambieni buguruni ukipigiwa kelele za mwizi unauawa ndani ya dakika 5,wasije wakarudi maiti kwao,
Kumbe mkatwa Kisigino ni Cdm? To a ushuhuda kama upo kwa Mzee wa upako
 
9e64560215270258e41668ff1c600856.jpg

KUFUATIA MGOGORO WA CUF, KUNA VIJANA KUTOKA PEMBA KUJA KUVAMIA OFISI KUU BUGURUNI.

KUNA vijana wametoka Pemba wamepangwa kuja kuvamia OFISI KUU BUGURUNI kesho.

Vijana wengine wametoka Arusha nao pia wamepangiwa kuungana na wenzao ili kuvamia Ofisi kuu kesho.

MKURUGENZI wa Ulinzi CUF Mhe. MASOUD MHINA amesema wanazo taarifa zote na amekwisha WAPANGA Blue Guards kila idara.

Pia kunakikao Cha WAASI kitafanyika MABIBO na ninaweza kumshirikisha Maalim SEFU NDEVU CHAKAVU.

TUNAOMBA wahusika waheshimu SHERIA za nchi na wasithubutu kufanya kikao na kujitambulisha kwa VYEO sio vyao.

Wakishindwa kutii maelekezo hayo wasitulamu tutachukua hatua Kali kwa AFYA ya chama.

SASA JICHANGANYENI MUONE CHA MTEMAKUNI

JINI LIKITOKA KWENYE CHUPA HALIRUDI KAMWE.

CUF TUMEJITAMBUA HATURUDI NYUMA NI MBELE KWA MBELE MPAKA 2020.
UKIONA MTU ANASHABIKIA MGOGORO NDANI YA CUF, TAMBUA ANASHABIKIA CUF KUFUTWA.
MIMI NILITEGEMEA HAWA VIJANA KUTOKA PEMBA WANGEANZA NA JECHA NA CCM YAKE KWANI WAMEIBA URAIS WA CUF.
 
Back
Top Bottom