residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,643
- 10,676
Jana na leo zinafanana!!???Conspiracy theories....
Kwa hiyo hata hizi chanjo dhidi ya magonjwa ya watoto ,huyo beberu anatumaliza nazo?!!!
Tunameza vidonge vya UKIMWI kila siku kwa hiyo beberu anatuchakaza nazo?!!
Tunakunywa soda kama COCACOLA NA PEPSI..."materials" yanatoka nje...kwa hiyo BEBERU HUYO anatumaliza eeee?!!!