Kaka tumekua tukiona bei za bidhaa zikipanda hasa wakati wa mfungo, so sijaona makosa ya mtu kuandaa baadhi ya vitu kwa ajili ya mfungo, LABDA KAMA UNADHIHAKI IMANI YAKE, kuhusu kula vizuri ni uwezo wa mtu yeyote ilimradi awe nacho, mbona kuna watu wanakula vizuri mwaka mzima? Nikushauri tu usidhihaki imani ya mwenzio yatakupata usiyo yategemea.