Mfumo wa ununuzi ardhi (TAUSI) kuna katabia ufanywa na wafanyakazi halmashauri zenu

Habari Mkuu,
Naomba kujuzwa kuhusu mfumo wa Tausi, nimeona unatakiwa kulipia 50% ndani ya siku 21 - na balance ndani ya miezi mitatu. Je unaendelea kutumia hio control number moja kwa malipo yote? .. Na je malipo ya maandalizi ya Hati unapewa mdaa gani ili ukamilishe malipo?
Control number ni hiyo hiyo, UKimaliza kulipa unaprint risit zako unaenda halmashauri kulipia hati
 
Kuhusu mfumo wa Tausi, je ukitaka kujua viwanja vipo wapi google map unafanya je? na jee ukishalipia ndio unaenda manispaa husika kupelekwa site ?

Kuhusu mfumo wa Tausi, je ukitaka kujua viwanja vipo wapi google map unafanya je? na jee ukishalipia ndio unaenda manispaa husika kupelekwa site ?
Baba hiyo mbona rahis nenda Google map tafuta sawa eneo lilipo kama ni janja ni rahis
 
Back
Top Bottom