Hahaha,Huo ujinga sasa hivi hawawezi kunifanyia kmmae zao. Nitaua mmoja na mimi wataniua..
Dah mwanangu nisimulie walikufanya nini maana naona Sasa unasema Wana bahati ulikuwa mdogo yaani full tafrani kakaWatu walioona lile tukio waliwalaani sana ingawa wao wakawa wanacheka tu na kukenua meno. Kmmae zao sana wale jamaa..
It's a very long story..Dah mwanangu nisimulie walikufanya nini maana naona Sasa unasema Wana bahati ulikuwa mdogo yaani full tafrani kaka
Pole Sana Kaka ,Ila Sasa wewe ni mkubwa ikitokea wakakuonea tena nistue tutawapiga mpaka waombe majiIt's a very long story..
Nitafanya kama Hamza. Bora nife na mmoja wao katika kundi la askari 3..Pole Sana Kaka ,Ila Sasa wewe ni mkubwa ikitokea wakakuonea tena nistue tutawapiga mpaka waombe maji
Ingawa askari wa chini ana hiyo division iv lakini Waziri ana degree, IGP na wakubwa wengine ndani ya jeshi hilo pia wana elimu nzuri tu iweje waruhusu upuuzi kwenye jeshi hilo?Hivi mtu kaenda kusomea upolisi kwa matokeo ya division IV:26-33 unategemea awe na intelligence sahihi ya maisha ya kawaida?.
Mpaka tubadili mfumo wa elimu ya jeshi la polisi pamoja na usimamizi na utendaji kazi wao. Wengi ni washenzi sana(Naweza kuthibitisha).
Unachiongea una uhakika nacho ? Mimi nimewahi kuja kukamatwa na mpelelezi kwa kuhisi kufananishwa ,kusaini document km shahidi wakati sijui chochote ,wakanionyesha picha ya jsmbazi la Arusha hiko kuko kuwa nilimdhamini wakati sijui chochote wala simfahamu mtu ,baadae akatoka nje akawa anaongea na cm ,akasema huyu siye namsikia ,polisi mwenyeji akamwambia mtishie tupate hela aisee nasikia yote ,akaingia na kunambia sasa itabidi twende wote arusha ,au toa 1M aisee nilisikitika sana ikabidi nitoe ili niachiwe hakuna watu wenye roho mbaya na tamaa ya pesa km polisi halafu angalia maisha yao duni sanaPolisi hawezi kumweka mtu ndani bila kosa. Sio kazi yake. Hiyo ni kazi ya Mahamaka nao hiyo ni baada ya kukuta na hatia ya kutenda kosa chini ya Sheria fulani.
Polisi huwa wanamtuhumu mtu kuwa mkosaji. Kwa hiyo hiyo ni Tuhuma tu haijathibitika kuitwa ni kosa.
Kwa lengo la kuthibiti mwenendo wa shtaka au tuhuma dhidi ya Mhusika, Polisi wanao uwezo(huweza) kumhifadhi mtuhumiwa kwa kumweka chini ya Ulinzi i.e. Mahabusu.
Mtuhumiwa anaweza kupata mdhamana kutegemea na aina ya tuhuma zilizopo dhidi yake. e.g. Mtu anayetuhumiwa kwa mauaji huwa hakuna mdhamana. Lakini mtu anayetuhumiwa kwa kupigana anaweza kupata mdhamini.
Wapo baadhi ya watu wachache hujikuta wanawakati mgumu na Polisi kutegemea na jinsi wanavyo-react wanapoambiwa uko chini ya ulinzi. Mtu anaambiwa uko chini ya ulinzi na anauliza ni kwa Tuhuma/Kosa gani ; anaambiwa utafahamishwa ukifika Kituoni. Hapo inakuwa shida. Hataki kwenda licha ya Taratibu za ukamataji kuzingatiwa. Wakati mwingine inakuwa kama wanaokamatwa wanawalazimisha Polisi kutumia nguvu. Kama mtu unauhakika mnaenda kituoni kweli; kwa nini usiende? Ukifika Kituoni jitahidi kujibu unachoulizwa. Kumbuka hayo maandishi ya Maelezo (statement)ya Polisi unaweza kuikataa Pale mahakamani.
Pole sana mkuu. Wewe uliinunua haki yako. Kwani ukikomaa nao na hadi wakakuweka mahabusu unaona shida gani?? Unatoaje 1m kizembe hivo?Unachiongea una uhakika nacho ? Mimi nimewahi kuja kukamatwa na mpelelezi kwa kuhisi kufananishwa ,kusaini document km shahidi wakati sijui chochote ,wakanionyesha picha ya jsmbazi la Arusha hiko kuko kuwa nilimdhamini wakati sijui chochote wala simfahamu mtu ,baadae akatoka nje akawa anaongea na cm ,akasema huyu siye namsikia ,polisi mwenyeji akamwambia mtishie tupate hela aisee nasikia yote ,akaingia na kunambia sasa itabidi twende wote arusha ,au toa 1M aisee nilisikitika sana ikabidi nitoe ili niachiwe hakuna watu wenye roho mbaya na tamaa ya pesa km polisi halafu angalia maisha yao duni sana
Naishi Tanzania hii hii na vituko vya polisi navifahamu na yamewahi kunikuta. Mm sio mgeni hapa. I have a lot of experience vide these thugs.U
Unaishi nchi gani definitely sio Tanzania
Siwatetei hao jamaa. Ninachosema hapo ni kwamba zipo taratibu. Kama taratibu zimekiukwa ndo shida inaanzia hapo. Hoja ya wafanyabiashara kuuawaHivi unawajua vizuri polisi au unawasikia tu,kama waliwaua wafanyabiashara wa madini kutoka ulangq morogoro na yule dereva wa tax wa sinza juma ndugu na zombie akatoka kwenye vyombo vya habari na kuaminisha watqnzania wale ni majambazi unawatetea Kwa kipi
Sidhani kama ni kweli. Sijaamini.Yuko sahihi kabisa mleta bandiko
Kituoni uliambiwa una kosa gani ?Mwaka 2021 nikiwa matembezini mchana pale Dodoma mtaa wa makulu kuelekea yalipo makao makuu ya TANESCO na REA nilisikia sauti ya mtu akiniita. Kuangaza vizuri walikuwa ni askari POLISI wawili wakiwa eneo lililojificha kidogo chini ya mti. Walikuwa na pikipiki nyeusi aina ya SINORAY. Nilipoona ni POLISI nikajua ni amani labda wanataka msaada wa jambo, nikaenda. Nilipofika nikashangaa wanaanza kuniuliza maswali mengi kuwa nimetoka wap? Naenda wap? Kufanya nini? nk. Nilijibu kwa kujiamin kwani sikuwa na shak. Ghafla mmoja akafungua kibegi alichokua nacho kikiwa na mafungu ya majani mabichi na kuniuliza huu mzigo wa nani? Nilipatwa na hofu kuu kwani sikujua chochote. Katika kujitetea na hasira nikajikuta NASHAMBULIWA kwa makofi na kupigwa ngwara. Kiukweli nilipata naumivu makali sana. Wakanifunga pingu kisha wakaanza kunisachi. Baada ya hapo walinichukua na kwenda kunidampo kituo cha polisi KISASA kisha nikaachiwa. Wote nawafahamu kwa sura na huwa nawaona sana barabarani. Mmoja anaitwa FRED. Nimemuachia MUNGU!
Nani alikudanganya eti Ulaya hakuna mambo hayo? Wewe unaiita kazi ya wenzio ni Upuuzi. Utaratibu unamtaka mtuhumiwa aambiwe Tuhuma zinazomkabili akiwa Kituoni. Mtuhumiwa akiwa kituoni Anaweza kuzikanusha (Sio kukataa) tuhma dhidi yake na akatoa maelezo(Statement) ya hali anavyoijua kuhusu tuhuma hizo. Hayo maelezo anaweza bado kuja kuyakataa pale Mahkamani kwa sababu katika kuandika Maelezo kuna kile kinaitwa "maswali ya kipolisi" i.e. maswali ya kukerehesha na kulazimisha kitu fulani kiandikwe halafu baadaye anakutaka usaini kana kwamba ni maelezo Huru uliyotoa ww..Kwanini usimwambie mtu kosa lake ni nini zaidi ya kuendekeza ubabe wa kijinga?? Ulaya hakuna upuuzi kama huu..
Pole sana mkuu. Mimi niliwahi kujikuta mahabusu pale Iringa mjini (1997) kwa kisa cha kubeba redio yangu niliyoitoa kwa fundi. Nilibeba redio hiyo baada ya fundi kukamilisha matengenezo na niliibeba bila wasiwasi katika mfuko wa nguo mithili ya hand bag.Kituoni uliambiwa una kosa gani ?
Je ulitokaje kituoni kwa kudhaminiwa au kuruhusiwa bila masharti yoyote ?
Ni kweli hukuwa unajua lolote kuhusu eneo hilo ? Je wahusika wamewahi kukuomba radhi kwa yaliyotokea ?
Pole Sana
Pole Sana ,tena Sana kadhia Kama hizo zimewakuta wengi hasa ikiwa vijana wanahitaji hela ya maji .Pole sana mkuu. Mimi niliwahi kujikuta mahabusu pale Iringa mjini (1997) kwa kisa cha kubeba redio yangu niliyoitoa kwa fundi. Nilibeba redio hiyo baada ya fundi kukamilisha matengenezo na niliibeba bila wasiwasi katika mfuko wa nguo mithili ya hand bag.
Nilitembea nayo hadi nikaingia eneo la kuuzia mitumba jirani na hapo stend ya mabasi. Akatokea kijana wa makamo mmoja akanisalimu na kuanza kuulizia kutaka kuiona redio yangu. nilimashangaa kwamba redio zimejaa madukani kwa nini asiende kuziona huko? Kijana alijitambulisha kwangu kwamba yy ni Polisi na hivyo anahitaji kuikagua redio yangu. Nilimkubalia ila kwa masharti kwamba Ukaguzi ukafanyikie Kituoni. Tuliongozana hadi Kituoni na hapo nilimruhusu aikague redio. Baada ya ukaguzi, kama utani hivi, akanikabidhi kwa askari waliokuwa hapo kaunta kwamba niandikishe maelezo kuhusu redio hiyo ni mali ya nani na nimeipataje.
Muda ulikuwa umeenda (jioni sana) na hivyo niliwekwa mahabusu ili maelezo yachukuliwe kesho yake. Nililala mahabusu kimasihara hadi asubuhi. Asubuhi nilijidhamini mm mwenyewe ili kupata nafasi kwenda Ofisini kutoa Taarifa ya yaliyonikuta. Sikupigwa wala siku sukumwa kuingia humo ndani - chumba cha mahabusu. Asubuhi katika maelezo niliambiwa tuhuma dhidi yangu ni kupatikana na redio inayodhaniwa ni ya wizi.
Ila kwa kweli Maswali ya Polisi yalinifanya nifike mahali Hasira zikapanda.
Jaribuni tena kunidhalilisha kama mlivyofanya Tunduma mwaka 2015 muone nitakachomfanya mmoja wenu. Wapuuzi wakubwa nyie. Kazi kukalia ubabe wa kijinga tu na vitisho kwa raia pumbavu zenu ili wawape hela muende kunywea beers jioni.Nani alikudanganya eti Ulaya hakuna mambo hayo? Wewe unaiita kazi ya wenzio ni Upuuzi. Utaratibu unamtaka mtuhumiwa aambiwe Tuhuma zinazomkabili akiwa Kituoni. Mtuhumiwa akiwa kituoni Anaweza kuzikanusha (Sio kukataa) tuhma dhidi yake na akatoa maelezo(Statement) ya hali anavyoijua kuhusu tuhuma hizo. Hayo maelezo anaweza bado kuja kuyakataa pale Mahkamani kwa sababu katika kuandika Maelezo kuna kile kinaitwa "maswali ya kipolisi" i.e. maswali ya kukerehesha na kulazimisha kitu fulani kiandikwe halafu baadaye anakutaka usaini kana kwamba ni maelezo Huru uliyotoa ww..
Hakuna ubabe endapo utazingatia Sheria. Unapokataa kwenda kituoni ndipo hapo shida huanzia.
Upo sahihi kabisa. Mfumo wa sasa siyo service oriented Bali ni wa kikoloni.Polisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni.
Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na saini nini? Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa hawezi kutokae huyu akae kwanza siku 10 si anajifanya mjuaji anajua sheria tuone sasa, na mkija bila laki 4 hatoki milele
Baada ya siku 4 ndugu wanalia kuomba msaada utoke anaambiwa atoe laki 6, ndugu wanajichanga wanatoa laki 6 mtu anatoka akiwa kaumizwa na majeraha mengi mwilini ambayo kapigwa bila kosa.
Jeshi hili ni la kionezi kwa raia libadilishiwe muundo wake wa utendaji kazi, kwa jinsi ilivyo sasa Polisi yuko juu sheria na hasa kwa raia ambao hawana watetezi.
Wananchi hawa wa kawaida wananumizwa na kuteswa sana hiki chombo yani Polisi wakiwa na shida na pesa tu wanatafuta sababu ya kukamata raia na kuwatoza fedha nyingi bila kosa na hawataki kuhojiwa ukowahoji unapigwa haswa
Hiki chombo si rafiki kwa raia si msaada kwa raia kabisa na raia akinyanyaswa hakuna mamlaka ya kukiwajibisha hiki chombo, polisi wabadilishiwe namna ya kutekeleza kazi zao na kama ilivyo hivi sasa.