kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,655
- 2,826
Ulichoandika umeandika cha ukweli?Polisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kunanini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa,unafika kituoni unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na sign nini?
Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa hawezi kutoka huyu akae kwanza siku 10 si anajifanya mjuaji anajua sheria tuone sasa, na mkija bila laki 4 hatoki milele, baada ya siku 4 ndugu wana lia kuomba msaada utoke anaambiwa atoe laki 6, ndugu wanajichanga wanatoa laki 6 mtu anatoka akiwa kaumizwa na majeraha mengi mwilini ambayo kapigwa bila kosa.
Jeshi hili ni la kinyang'anyi, la kionezi kwa raia libadilishiwe muundo wake wa utendaji kazi, kwa jinsi ilivyo sasa polisi yuko juu sheria na hasa kwa raia ambao hawana watetezi.
Wananchi hawa wakawaida wananumizwa na kuteswa sana hiki chombo yani polisi wakiwa na shida na pesa tu wanatafuta sababu ya kukamata raia na kuwatoza fedha nyingi bila kosa na hawataki kuhojiwa ukowahoji unapigwa haswa , hiki chombo si rafiki kwa raia si msaada kwa raia kabisa na raia akinyanyaswa hakuna mamlaka ya kukiwajibisha hiki chombo, polisi wabadilishiwe namna ya kutekeleza kazi zao na kama ilivyo hivi sasa.
Na hata nisipo shuhudia mimi utapata ushuhuda hapahapa kwenye uzi wangu, jeshi la polisi kwakweliUlichoandika umeandika cha ukweli?
Mbona inaeleweka Polisi huzingatia Taratibu zilizowekwa kisheria katika Utekelezaji wa majukumu yao. Wewe ilkuwaje?Na hata nisipo shuhudia mimi utapata ushuhuda hapahapa kwenye uzi wangu, jeshi la polisi kwakweli
Jeshi hili hili au lingine?Mbona inaeleweka Polisi huzingatia Taratibu zilizowekwa kisheria katika Utekelezaji wa majukumu yao. Wewe ilkuwaje?
Polisi hawezi kumweka mtu ndani bila kosa. Sio kazi yake. Hiyo ni kazi ya Mahamaka nao hiyo ni baada ya kukuta na hatia ya kutenda kosa chini ya Sheria fulani.Mi huwa nawatunia hata kama sina connection. Waoga kulogwa balaa. Nikiona anajidai sana namweleza ama kuwaeleza wajiandae kwa ajili ya familia itaishije bila yeye kama ambavo wanavotaka kumweka mtu ndani bila kosa.
Ni hili hili. Asipozingatia Taratibu zilizopo (PGO) naye huwa ni mkosaji vilevile kama wakosaji wengine.Jeshi hili hili au lingine?
Ukiendelea kupewa uzima utayashuhudiaMbona inaeleweka Polisi huzingatia Taratibu zilizowekwa kisheria katika Utekelezaji wa majukumu yao. Wewe ilkuwaje?
SafiPolisi hawezi kumweka mtu ndani bila kosa. Sio kazi yake. Hiyo ni kazi ya Mahamaka nao hiyo ni baada ya kukuta na hatia ya kutenda kosa chini ya Sheria fulani.
Polisi huwa wanamtuhumu mtu kuwa mkosaji. Kwa hiyo hiyo ni Tuhuma tu haijathibitika kuitwa ni kosa.
Kwa lengo la kuthibiti mwenendo wa shtaka au tuhuma dhidi ya Mhusika, Polisi wanao uwezo(huweza) kumhifadhi mtuhumiwa kwa kumweka chini ya Ulinzi i.e. Mahabusu.
Mtuhumiwa anaweza kupata mdhamana kutegemea na aina ya tuhuma zilizopo dhidi yake. e.g. Mtu anayetuhumiwa kwa mauaji huwa hakuna mdhamana. Lakini mtu anayetuhumiwa kwa kupigana anaweza kupata mdhamini.
Wapo baadhi ya watu wachache hujikuta wanawakati mgumu na Polisi kutegemea na jinsi wanavyo-react wanapoambiwa uko chini ya ulinzi. Mtu anaambiwa uko chini ya ulinzi na anauliza ni kwa Tuhuma/Kosa gani ; anaambiwa utafahamishwa ukifika Kituoni. Hapo inakuwa shida. Hataki kwenda licha ya Taratibu za ukamataji kuzingatiwa. Wakati mwingine inakuwa kama wanaokamatwa wanawalazimisha Polisi kutumia nguvu. Kama mtu unauhakika mnaenda kituoni kweli; kwa nini usiende? Ukifika Kituoni jitahidi kujibu unachoulizwa. Kumbuka hayo maandishi ya Maelezo (statement)ya Polisi unaweza kuikataa Pale mahakamani.
Kwani utaratibu wa ukamataji unasema hivyo ? Kwamba ukienda kumkamata mtu hana ulazima wa kujua nini kinafanya awe chini ya ulinzi Hadi afike kituoni? Sheria ya ukamataji ndio iko hivyo? Au ni mazoea mliyo jiwekea, unaenda kumkamata mtu bila kiongozi wake wa mtaa, akitaka kujua ninyi ni kina nani mnamjibu kwa maneno sisi askari, basi naomba kitambulisho mnaamwambia tumesha kwambia sisi askari hayo maswali utayajua mbele mara msha mkwida kurupushani mnampiga na kumbeba kwa kipigo na akifika kituoni kwa vile kawauliza uliza maswali basi ndio itakuwa mboga huko atatoka hoi taaban kwa lugha zenu mnasema anajifanya mwanaharakati, ndio sheria ya ukamataji inasema hivyo? Kama na wewe ni askari basi mjijue tuu mnayanyasa sana wananchi kwa kukiuka sheria za ukamataji.Polisi hawezi kumweka mtu ndani bila kosa. Sio kazi yake. Hiyo ni kazi ya Mahamaka nao hiyo ni baada ya kukuta na hatia ya kutenda kosa chini ya Sheria fulani.
Polisi huwa wanamtuhumu mtu kuwa mkosaji. Kwa hiyo hiyo ni Tuhuma tu haijathibitika kuitwa ni kosa.
Kwa lengo la kuthibiti mwenendo wa shtaka au tuhuma dhidi ya Mhusika, Polisi wanao uwezo(huweza) kumhifadhi mtuhumiwa kwa kumweka chini ya Ulinzi i.e. Mahabusu.
Mtuhumiwa anaweza kupata mdhamana kutegemea na aina ya tuhuma zilizopo dhidi yake. e.g. Mtu anayetuhumiwa kwa mauaji huwa hakuna mdhamana. Lakini mtu anayetuhumiwa kwa kupigana anaweza kupata mdhamini.
Wapo baadhi ya watu wachache hujikuta wanawakati mgumu na Polisi kutegemea na jinsi wanavyo-react wanapoambiwa uko chini ya ulinzi. Mtu anaambiwa uko chini ya ulinzi na anauliza ni kwa Tuhuma/Kosa gani ; anaambiwa utafahamishwa ukifika Kituoni. Hapo inakuwa shida. Hataki kwenda licha ya Taratibu za ukamataji kuzingatiwa. Wakati mwingine inakuwa kama wanaokamatwa wanawalazimisha Polisi kutumia nguvu. Kama mtu unauhakika mnaenda kituoni kweli; kwa nini usiende? Ukifika Kituoni jitahidi kujibu unachoulizwa. Kumbuka hayo maandishi ya Maelezo (statement)ya Polisi unaweza kuikataa Pale mahakamani.
Ili aonekane mkosaji unamshtakia wapi? Maana mnaongea kama hampo tanzaniaNi hili hili. Asipozingatia Taratibu zilizopo (PGO) naye huwa ni mkosaji vilevile kama wakosaji wengine.
NAKAZIAWewe hao Policcm dili nao kama vibaka.
Shughulika nao mmoja mmoja, kama huna nguvu kabisa “Shughulika nao Ki Yericko Nyerere.