SoC04 Mfumo wa elimu Tanzania na athari zake kwa vijana

Tanzania Tuitakayo competition threads

DESTINE CHAKUPEWA

New Member
Jun 24, 2024
1
0
Mfumo wa Elimu Tanzania umejengwa Kwa namna ambayo inahitaji mwanafunzi kupitia ngazi mbalimbali Kwa muda mrefu kabla ya kuhitim na kuanza maisha ya kikazi.tukiangalia Kwa undani tunaweza kuelewa kwanini inachukua muda mrefu sana. Elimu ya darasa la 1-7 inachukua miaka 7 mwanafunzi huanza akiwah na miaka 6 au7 na atamaliza akiwah na miaka 13 au 14.

Elimu ya sekondari huchukua miaka 4 na mwanafunzi humaliza akiwah na miaka 17au18 Elimu ya sekondari ya juu ( A - level kidato 5-6) huchukua miaka miwili na hapo mwanafunzi anamaliza akiwah na miaka 20au21. Elimu ya chuo kikuu hii inachua kati ya miaka 3 Hadi 4 kulingana na kozi Kwa kozi maalum kama udaktari inachukua miaka 5 mwanafunzi anaesoma shahada kawaida anamaliza akiwah na miaka 23au24 Kwa kozi za kawaida au zaidi Kwa kozi ndefu.

Zifuatazo ni athari zinazo jitokeza au zilizopo kulingana na mfumo huu wa Elimu ulivyo hapa Tanzania ambazo ni;

Muda mrefu wa kusoma. kulingana na mfumo huu mwanafunzi atakuwa chuoni Hadi umri wa miaka 23au zaidi kabla ya kuanza rasmi kutafuta kazi au kujitegemea hii inapelekea kuchelewa kuanza maisha ya binafsi kama kuanzisha familia au kuanza biashara.

Maandalizi Kwa ajira. Soko la ajira linabadilika haraka na Kwa wanafunzi wengi muda mrefu unao tumiwa shuleni na chuoni Inakuwa na Athari kubwa Kwa ufanisi wao katika kukabiliana na soko la ajira. Mfumo wa Elimu unahitaji kuzingatia zaidi ujuzi wa vitendo na technolojia za kisasa ili wanafunzi wawe na ushindani zaidi wanapo maliza katika sekta ya kujitegemea.

Fursa za maisha binafsi. Vijana wengi wanapo maliza masomo yao wanajikuta na umri ambao wengi wamesha Anza familia au wamejijenga kiuchumi jambo ambalo linaleta Shinikizo zaidi kwao.

Yafuatayo ni mapendekezo ya kuboresha mfumo huu wa Elimu ya Tanzania ili kuondoa Athari hizo ambazo ni pamoja na;

Marekebisho ya mtaala. Kupunguza muda wa masomo Kwa njia za ubunifu mfano kutoa masomo ya vitendo mapema na kuwapatia wanafunzi ujuzi ambao utawasaidia Moja Kwa Moja katika soko la ajira.

Kuandaa program za mafunzo ya ufundi. Kuhimiza na kuwekeza zaidi katika Elimu ya ufundi na program za mafunzo ya kazi ambazo huchukua muda mfupi na zinaweza kuwasaidia
 
Back
Top Bottom