Mfanyabiashara na lipa kwa simu ni pete na kidole🤝

pelius laurent

Senior Member
Oct 7, 2019
156
147
LIPA NAMBA?🤔
Ni line Maalumu ambazo hutumiwa na wafanyabiashara

LAINI hizi hutumiwa pia na Mawakala kwa matumizi ya kutoa pesa

Kwa wafanya biashara mfano Maduka, Mteja Anaweza kulipia bidhaa kwa kulipa kupitia simu na hii ndio sababu ya LAINI hizi kupewa jina la LIPA NAMBA
AU LIPA KWA SIMU

FAIDA YAKE
🤗Line ya Lipa namba inakuwezesha kutoa pesa kwa wakala yeyote bila ya kuwa na makato YEYOTE
🤗Line unauwezo wa kupokea pesa kutoka kwa mtandao wowote bila ya kuwa na makato ya ziada
😎line inauwezo wa kupokea pesa Hadi milioni 50 na wakati laini ya kawaida haiwezi kupokea kiwango kikubwa Cha fedha!!
🔥Unaweza ukahifadhia pesa zako
💪FAIDA KUBWA YA LIPA NAMBA NI KUTOA PESA BILA MAKATO YEYOTE

LIPA NAMBA NAIPATAJE
🤔Lipa namba ya M-Pesa vigezo Ni:-👇
1. TIN number. Kama hauna utatengenezewa
2. Namba ya kitambulisho Cha NIDA
3. Line ya VODA sajiri zingatia LAINI ISIWEZESHWE M-PESA sajiri tu Kisha nipe namba

🤙Nipigie kwa namba 0765400947 (Whatsapp,simu,Sms
🤞Ukiwa MWANZA naweza kukufata Ulipo

🤲KARIBUNI SANA
GHARAMA: 10,000Tshs
🙏🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom