AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,320
- 1,232
Kila kitu ni gharama ,ukisema siri kila kitu watu wangezijuaje hizo siri na kufanya biashara?
Kuna biashara zinajulikana ,ukifanya ni kujiongeza kidogo tu
Pia biashara unaweza ajiri watu wakakupa code.
Kwa uzoefu wangu watu wenye uwezo wanatumia pesa mingi sana kujifunza biashara mpya