Mfahamu Armin Meiwes aliyetengeneza last supper na nyama ya mtu.

mcTobby

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
4,426
12,956
Huyu armin meiwes alikuwa mtu mkimya asiyekuwa na mambo mengi na hata majirani zake ndivyo walivyokuwa wakimuona. Yaani mtu asiyekuwa na makuu na mtu . Lakini kwenye ulimwengu wa Internet hakuwa hivyo kama majirani zake walivyomwona . Alikuwa kiumbe cha kuogofya sana akitumia jina au ID ya " Franky" ambacho kilikuwa kikitafuta watu waliyo tayari kuchinjwa.
Kama muda mwingine humu jf unasikia kuna mtu anatafuta mchumba au mpenzi kwa ajili ya mahusiano , kwa Huyu bwana ilikuwa tofauti. Alikuwa na fantasy ya ajabu sana.
Screenshot_20250417_153447_Google.jpg

Meiwes alikuwa akitumia forum moja kutafuta mtu au watu ambao wapo tayari kuchinjwa kwa ajili ya msosi. Na kweli siku moja jamaa akaandika online kwenye ukurasa wake kwenye hiyo forum ujumbe uliosema " Iam looking for a healthy man, aged 18-30 who wants to be cut and eaten by me". Haukuwa ujumbe wa utani alikuwa serious.
Haikupita muda ujumbe wake ulijibiwa na bwana mmoja kwa jina Bernd Jürgen Brandes ambaye alikuwa ni mtaalamu wa IT kutoka mji wa Berlin.
Huyu bwana alikuwa tayari kuchinjwa na kuliwa. Ikafikia stage wakaanza kuchati inbox, kutumiana voice calls na meseji na mwisho waliafikiana wakutane nyumbani kwa huyu bwana Armis kwenye mji mdogo wa Rotenburg yalipo makazi yake.
Screenshot_20250417_153409_Google.jpg
Ilipofika tarehe 9 mwezi march mwaka 2001 walikutana na kila jambo walikuwa wanakubaliana "CONSENT". Mazingira ya nyumba ya meiwes yalikuwa yanatisha sana. Kulikuwa na dining table kubwa pamoja na visu vyenye makali haswa camera iliyowekwa tayari kwa ajili ya kurekodi tukio mubashara na ukimya wa hali ya juu.
Sasa katika hali isiyokuwa ya kawaida huyu bernd pia alikuwa anamsaidia meiwes kutayarisha mazingira ya yeye kuchinjwa. Hii ni kwa mujibu wa footage za mkanda wa video uliokutwa baadaye kwenye nyumba hii ulipofanyiwa uchunguzi.
Alijiandaa kwa kuvua nguo zote,akajilaza vizuri kisha huyu Meiwes akaanza kumkata nyeti zake huku Bernd akitoa ushirikiano wote. Haikuishia hapo Meiwes alijaribu kuzipika nyeti hizi ili wazile pamoja na huyu victim wake ingawaje hawakuweza kuzitafuna kutokana na kuwa ngumu mdomoni.
Screenshot_20250417_153254_Google.jpg

Baada ya hapa, huyu Bernd alipoteza damu nyingi kutokana na jeraha la kukatwa nyeti zake. Kuona hivi huyu meiwes alimchukua Bernd hadi kitandani na kumlaza kisha na kumpa pombe ili afe taratibu. Hali ilazidi kuwa mbaya huyu bwana akaanza kupoteza fahamu na kuishiwa nguvu. Baada ya kutulia ,Meiwes alichukua kisu na kumtoboa kifuani ili kummalizia kumuua.

Baada ya hapo mwili wa Bernd ulikatwa vipandevipande na kuwekwa kwenye plastiki maalumu na kuhifadhiwa kwenye jokofu .Nyama ya huyu bernd ikawa ni stake ya meiwes kuitumia kwa miezi kadhaa mbeleni. Kilichokuwa kinatisha zaidi ni kwamba huyu bwana alikuwa akiichukulia nyama ya binadamu kama ni minofu ya nyama ya ng'ombe au samaki kwa kuikata kidogo kidogo na kuipika au muda mwingine kuikaanga kwa ajili ya kuila na kisha kuishushia na mvinyo wa baridii huku akienjoy every bite.
Sasa huyu mwamba alikuja kutiliwa mashaka na hiyo forum kisha kuripotiwa kwenye vyombo vya usalama. Hii ni baada ya kupost tangazo lingine akihitaji mtu mwingine wa kumchinja. Vyombo vya usalama vilitumwa kwenda kufanya upekuzi ndani ya apartment yake. Na kweli wakakutana na mabaki ya miili ya watu kwenye jokofu, visu vyenye damu pamoja na mkanda wa video wenye masaa manne ukionyesha matukio hayo..

Huyu Armin meiwes alikamatwa na kutiwa ndani. Lakini kesi ya huyu bwana ilikuwa ngumu kisheria kutokana na yeye kujitetea kwa kusema wahanga/victim wake walikuwa tayari kuuliwa kwa ajili ya kuchinjwa na kufanywa chakula. Katika moja ya utetezi wake mahakamani alinukuliwa akisema ," I didn't kill to kill. I did it because he wanted it. I just fulfilled his wish".
Mwisho wa siku alihukumiwa kwenda jela miaka 8 na miezi sita kwa kuua bila kukusudia. Lakini raia wakalalamika kwa huyu bwana kupewa kifungo kidogo. Kesi yake ilisikilizwa upya mwaka 2006 na Armin akakutwa na hatia ya kuua kwa ajili ya kupata msisimko wa kingono/sexual motive na ulaji wa nyama ya binadamu na akahukumiwa kifungo cha maisha.
Inasemekana pasipo uhakika kwamba anaishi uraiani kwa sasa maisha peacefully pasipo kelele na mtu .Tena hatumii nyama kabisa amegeuka kuwa vegetarian.
Anyway hii stori nimeileta mahsusi kipindi hiki ambapo wakatoliki hawali nyama ifikapo siku za mwisho mwisho za mfungo wa pasaka. Sijui ni alhamisi kuu au ni ijumaa kuu?Mtanisahihisha.
Credit to online Telegraph newspaper
Photo credit:dw.com ,Associated Press(AP)
Dw.com
 
Hii niliwahi kuiona FORENSIC FILES

Kule walielezea tofaut kdg,
kua wale waliokua wanaoletwa kuchinjwa, walidhani ni igizo TU, wameletwa kwake kutengeneza online content Kwa sababu ya macamera camera nyumba nzima ya jamaa.

Baada ya kufungwa kamba, na kuanza kukatwa viungo kimoja Baada ya kingine, ndo wakajua kua mwamba Yuko serious

Walikua wanapiga kelele, Ila nyumba ya jamaa ilkua soundproof. Kelele hazitoki nje

Yule jamaa alkua psycho kwelikweli
 
yeah upo sahihi .. just nimefanya tu summary. Ila stori ya huyu jamaa ilitikisa vyombo vya habari. Mimi nimechukua article moja kwenye gazeti la online la the telegraph DeepPond
 
Huyu armin meiwes alikuwa mtu mkimya asiyekuwa na mambo mengi na hata majirani zake ndivyo walivyokuwa wakimuona. Yaani mtu asiyekuwa na makuu na mtu . Lakini kwenye ulimwengu wa Internet hakuwa hivyo kama majirani zake walivyomwona . Alikuwa kiumbe cha kuogofya sana akitumia jina au ID ya " Franky" ambacho kilikuwa kikitafuta watu waliyo tayari kuchinjwa.
Kama muda mwingine humu jf unasikia kuna mtu anatafuta mchumba au mpenzi kwa ajili ya mahusiano , kwa Huyu bwana ilikuwa tofauti. Alikuwa na fantasy ya ajabu sana.View attachment 3307369
Meiwes alikuwa akitumia forum moja kutafuta mtu au watu ambao wapo tayari kuchinjwa kwa ajili ya msosi. Na kweli siku moja jamaa akaandika online kwenye ukurasa wake kwenye hiyo forum ujumbe uliosema " Iam looking for a healthy man, aged 18-30 who wants to be cut and eaten by me". Haukuwa ujumbe wa utani alikuwa serious.
Haikupita muda ujumbe wake ulijibiwa na bwana mmoja kwa jina Bernd Jürgen Brandes ambaye alikuwa ni mtaalamu wa IT kutoka mji wa Berlin.
Huyu bwana alikuwa tayari kuchinjwa na kuliwa. Ikafikia stage wakaanza kuchati inbox, kutumiana voice calls na meseji na mwisho waliafikiana wakutane nyumbani kwa huyu bwana Armis kwenye mji mdogo wa Rotenburg yalipo makazi yake. View attachment 3307370Ilipofika tarehe 9 mwezi march mwaka 2001 walikutana na kila jambo walikuwa wanakubaliana "CONSENT". Mazingira ya nyumba ya meiwes yalikuwa yanatisha sana. Kulikuwa na dining table kubwa pamoja na visu vyenye makali haswa camera iliyowekwa tayari kwa ajili ya kurekodi tukio mubashara na ukimya wa hali ya juu.
Sasa katika hali isiyokuwa ya kawaida huyu bernd pia alikuwa anamsaidia meiwes kutayarisha mazingira ya yeye kuchinjwa. Hii ni kwa mujibu wa footage za mkanda wa video uliokutwa baadaye kwenye nyumba hii ulipofanyiwa uchunguzi.
Alijiandaa kwa kuvua nguo zote,akajilaza vizuri kisha huyu Meiwes akaanza kumkata nyeti zake huku Bernd akitoa ushirikiano wote. Haikuishia hapo Meiwes alijaribu kuzipika nyeti hizi ili wazile pamoja na huyu victim wake ingawaje hawakuweza kuzitafuna kutokana na kuwa ngumu mdomoni.
View attachment 3307373
Baada ya hapa, huyu Bernd alipoteza damu nyingi kutokana na jeraha la kukatwa nyeti zake. Kuona hivi huyu meiwes alimchukua Bernd hadi kitandani na kumlaza kisha na kumpa pombe ili afe taratibu. Hali ilazidi kuwa mbaya huyu bwana akaanza kupoteza fahamu na kuishiwa nguvu. Baada ya kutulia ,Meiwes alichukua kisu na kumtoboa kifuani ili kummalizia kumuua.

Baada ya hapo mwili wa Bernd ulikatwa vipandevipande na kuwekwa kwenye plastiki maalumu na kuhifadhiwa kwenye jokofu .Nyama ya huyu bernd ikawa ni stake ya meiwes kuitumia kwa miezi kadhaa mbeleni. Kilichokuwa kinatisha zaidi ni kwamba huyu bwana alikuwa akiichukulia nyama ya binadamu kama ni minofu ya nyama ya ng'ombe au samaki kwa kuikata kidogo kidogo na kuipika au muda mwingine kuikaanga kwa ajili ya kuila na kisha kuishushia na mvinyo wa baridii huku akienjoy every bite.
Sasa huyu mwamba alikuja kutiliwa mashaka na hiyo forum kisha kuripotiwa kwenye vyombo vya usalama. Hii ni baada ya kupost tangazo lingine akihitaji mtu mwingine wa kumchinja. Vyombo vya usalama vilitumwa kwenda kufanya upekuzi ndani ya apartment yake. Na kweli wakakutana na mabaki ya miili ya watu kwenye jokofu, visu vyenye damu pamoja na mkanda wa video wenye masaa manne ukionyesha matukio hayo..

Huyu Armin meiwes alikamatwa na kutiwa ndani. Lakini kesi ya huyu bwana ilikuwa ngumu kisheria kutokana na yeye kujitetea kwa kusema wahanga/victim wake walikuwa tayari kuuliwa kwa ajili ya kuchinjwa na kufanywa chakula. Katika moja ya utetezi wake mahakamani alinukuliwa akisema ," I didn't kill to kill. I did it because he wanted it. I just fulfilled his wish".
Mwisho wa siku alihukumiwa kwenda jela miaka 8 na miezi sita kwa kuua bila kukusudia. Lakini raia wakalalamika kwa huyu bwana kupewa kifungo kidogo. Kesi yake ilisikilizwa upya mwaka 2006 na Armin akakutwa na hatia ya kuua kwa ajili ya kupata msisimko wa kingono/sexual motive na ulaji wa nyama ya binadamu na akahukumiwa kifungo cha maisha.
Inasemekana pasipo uhakika kwamba anaishi uraiani kwa sasa maisha peacefully pasipo kelele na mtu .Tena hatumii nyama kabisa amegeuka kuwa vegetarian.
Anyway hii stori nimeileta mahsusi kipindi hiki ambapo wakatoliki hawali nyama ifikapo siku za mwisho mwisho za mfungo wa pasaka. Sijui ni alhamisi kuu au ni ijumaa kuu?Mtanisahihisha.
Credit to online Telegraph newspaper
Photo credit:dw.com ,Associated Press(AP)
Dw.com
ningekuwa kama huyu wachawi wote wangeisha mtaani
 
Ukikaa peke yako sehemu yenye utulivu akili yako inaweza kufanya maamuzi magumu mnoo...angalia wauawaji wengi au waliofanya matukio makubwa ya kutisha ni watu waliokua wanapenda kukaa peke yao...hawana mahusiano na watu wengine....mambo yao huwa ni mabaya na ya kuogofya...
 
Sahii kabisa,
Na watafiti wengi wanasema,
Serial killer wengi Huwa ni introverts
Na hii Huwa inawapa shida Sana mamlaka kuwapata Maana huwezi Hata kuwahisia kua wanaweza kufanya vitendo vile Kwa jinsi wanavokua wapole

Na kingine kinachochangia hayo ni mtu kukosa upendo either wa wazazi, marafiki, ndugu au jamaa nk au kama alipitia manyanyaso makubwa kutoka kwa hao watu, mtu huyo hugeuka kuwa sadist na kukosa utu kiasi cha kuona kawaida pale binadamu wenzie wanapodhuriwa au wanapouliwa, mental health problems are real watu wengi wanafanya mambo mengi ya ajabu kwa sababu kama hizo ambazo tunazichukulia poa tu
 
Sure dear...
 
Sahii kabisa,
Na watafiti wengi wanasema,
Serial killer wengi Huwa ni introverts
Na hii Huwa inawapa shida Sana mamlaka kuwapata Maana huwezi Hata kuwahisia kua wanaweza kufanya vitendo vile Kwa jinsi wanavokua wapole
Kabisaaa nina watu kadhaa nawafahamu ni wapole ila wana tabia ambazo ukimwambia mtu hawezi kuamini...
 
Back
Top Bottom