Meya wa Ubungo akabidhi mashtaka yake dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye tume ya Maadili

Mnasumbuka bure na Makonda. Meya angajielekeza zaidi katika kuwawezesha vijana, usafi ubungo, kuhamasisha wawekezaji, kuondoa kero za uchafu wa mitaro, kuwawezesha wakina Mama
 
Naomba elimu, hivi tume ya maadili ina coercive powers? or to put it the other way round, to what extent are the decisions of tume ya maadili binding, of what legal effect?
All Tumes are now tunder one umbrella! The holder of it will shift to any position he likes. If you go offsight from him you will suffer from rain downpour!
 
meya wa Ubungo, Huku Goba hatuna barabara wala maji. Haya ndo mambo ya Msingi. Hicho cheti hata kama kipo au hakipo hakiwezi kuleta maji na barabara Goba. Tafadhali fanyia kazi, achana na mambo ya Makoonda.
Umelipa kodi kiasi gani mwaka huu?
 
Nasikia ukiandika baadhi ya majina zinatokea nyota ngoja nijaribu.

Makonda

Bashite

Updates:
Kumbe kweli.

Updates:
Naona wameachia labda wameona sentensi zitakua hazieleweki.
 
meya wa Ubungo, Huku Goba hatuna barabara wala maji. Haya ndo mambo ya Msingi. Hicho cheti hata kama kipo au hakipo hakiwezi kuleta maji na barabara Goba. Tafadhali fanyia kazi, achana na mambo ya Makoonda.
Mwambie bashite akupe maji unywe
 
VYOTE LAZIMA TUVIFANYIE KAZI ESPECIALLY ON STRESSING THE RULE OF LAW. MAISHA YAKO HAYAISHII HAPO TU KWENYE BARABARA NA MAJI.

meya wa Ubungo, Huku Goba hatuna barabara wala maji. Haya ndo mambo ya Msingi. Hicho cheti hata kama kipo au hakipo hakiwezi kuleta maji na barabara Goba. Tafadhali fanyia kazi, achana na mambo ya Makoonda.
 
meya wa Ubungo, Huku Goba hatuna barabara wala maji. Haya ndo mambo ya Msingi. Hicho cheti hata kama kipo au hakipo hakiwezi kuleta maji na barabara Goba. Tafadhali fanyia kazi, achana na mambo ya Makoonda.
Twende na yote-haiwezekani mkoa uongozwe na mtu anayestahili kuwa jela!
 
Mi nimeandika super kilaza inatokea nyota au ndo ishu ya msimamo wa waandishi.
 
Wahariri wa habari wameanza kazi rasmi kwa M akonda ....hii taarifa ya kukabidhi mashtaka ya Ma konda nayo itapotezewa maana inamuhusu.
 
Back
Top Bottom