Meya wa Arusha amtaka Mrisho Gambo amuombe msamaha ndani ya siku 7

Meya huyu angekuwa na akili angefunga mdomo kwa muda hata wa miezi 12 hivi...Hivi anachukulia kirahisirahisi kuwa mtu wa mwisho kukutana na mzee Ndesa kabla hajaaga dunia?
 
Huyu Meya hana adabu.

Watu wa design hii ni wa kuwekwa ndani tu mpaka washike adabu na kuheshimu Mamlaka za Nchi.
 
Meya huyu angekuwa na akili angefunga mdomo kwa muda hata wa miezi 12 hivi...Hivi anachukulia kirahisirahisi kuwa mtu wa mwisho kukutana na mzee Ndesa kabla hajaaga dunia?
Meya huyo aisaidie polisi kifo cha ndesamburo kafa baada Ya kukutana na Mzee ndesamburo alimfanya nini mzee wa watu hadi akafa ?
 
Meya wa jiji la Arusha ametoa siku saba kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha kumuomba msamaha kwa kumuweka ndani (Mahabusu) kwa takribani siku tatu.
Pia ameongeza kwa kusema kwamba kama Mkuu wa mkoa, Mh Mrisho Gambo atashindwa kufanya hivyo alivyomwambia basi atamchukulia hatua pamoja na kwenda kufungua kesi mahakamani kwa kitendo alichofanya Mrisho Gambo

Pia amezungumzia swala la Mkuu wa mkoa kuweka watu ndani pamoja na watumishi wa dini na waandishi wa Habari na hali ya sintofahamu ya kuzuia kuagwa kwa mwili wa Mh Ndesamburo katika viwanja vya Mashujaa

Mh. nyeupe ni fisadi
 
Kuna watu wapumbavu sana nchi hii, mtu (M.G) kakulia vichochoroni vijijini huko leo wanamuita mtoto wa mjini. Kweli walugaluga wamelivamia jiji hatari sana.
 
Hiyo ni hatua muhimu sana ktk kutengeneza mazingira ya kuja kufungua madai ya fidia.
 
Back
Top Bottom