Kwani hiyo wilaya ya karatu imo ndani ys jiji la arusha au ????Mnashusha hazi ya huku jf jamani. maswali mengine ulizaneni huko huko, hivi mfano, niko hapa arusha, meya anaweza kwenda kusimamia mambo yanayotokea wilaya ya karatu, au ngorongoro, uijibu hilo swali utajua kati ya mkuu wa mkoa na meya nani yuko juu
Ameuliza swali zuri,Kiukweli kama ikiwezekana kimoja kifutwe either hiyo ya meya au Mkuu wa mkoaHili swali limeulizwa na mtu mwenye akili timamu ama na hawa walevi waliojazana JF! Maana siamini mtu mwenye akili timamu anaweza kuuliza swali lililo wazi kama hili. Ni sawa na kuuliza kati ya mwenyekiti na katubu Mkuu CHADEMA nani ni mkubwa
Kipindi hiki mayor ndio mnawaita ma house girl? Mmmmh.Hause Girl(Meya) na Mama Mwenye Nyumba (Mkuu wa Mkoa)nani anapaswa kuwa juu?
UKAWA mapovu ya nini? Mkuu wa mkoa ni rais wa Mkoa kwa kifupi amechaguliwa/teuliwa na Rais kuongoza kwa niaba yake......Katika jambo ambalo linanishangaza mno ni suala la ukuu wa mkoa na umeya.Hakika nchi hii ni ya ajabu haina mfano.Inakuwaje mkuu wa mkoa kama wa Dar es Salaam anakuwa anaheshimika na kupewa nafasi katika mambo muhimu huku cheo chake ni cha kuteuliwa tu wakati mameya ndio inabidi wawe na hayo majukumu.
Kwa mfano CRDB walivyotoa mchango wa madawati badala ya kumkabidhi meya wa jiji wamemkabidhi mkuu wa mkoa.
Sherehe na matukio muhimu mkuu wa mkoa ndio anapewa nafasi ilhali meya aliyechaguliwa na wananchi yupo yupo tu.
Matamko muhimu yanatolewa na mkuu wa mkoa huku meya wa jiji yupo tu kimya.
Hii katiba yetu kama ndio inaruhusu huu ujinga ni heri ifutiliwe mbali, haiwezekani mkuu wa mkoa, kateuliwa tu huku meya aliyetokana na kura za wananchi na madiwani wenzake anawekwa kando.
Kiukweli inasikitisha haya mambo.
Mkuu Lizaboni, Hivi Raisi akishakamilisha uteuzi wa ma-DC huwa yeye mwenyewe anaendelea na kuteua makatibu tarafa / kata? Hapa kidogo pamenipita kushoto.Hili swali limeulizwa na mtu mwenye akili timamu ama na hawa walevi waliojazana JF! Maana siamini mtu mwenye akili timamu anaweza kuuliza swali lililo wazi kama hili. Ni sawa na kuuliza kati ya mwenyekiti na katubu Mkuu CHADEMA nani ni mkubwa
Kwani hiyo wilaya ya karatu imo ndani ys jiji la arusha au ????
Pia nawe nakuuliza swali kiongozi anayechaguliwa na wananchi walio wengi kupitia wawakilishi na kiongozi anayechaguliwa na mtu moja nani zaidi????
Ukuu wa mkoa na wilaya ni muundo unaotokana na sera za kijamaa hauna manufaz yyte kwa mazingira ya nchi yetu kwa sasa
Kumbe kakosa huyu??? Jitihada. Zote zile?U dc umekuchanganya akili.
Mwanaume Mzima Unakuwa Na Mipasho Kama Demu Wa LUMUMBA!Sasa unachokisema ni matusi na pengine kwa sababu tu ya wivu wa Makonda kuwa RC huku wewe ukiswaga lami na yeboyebo. Siyo mimi niliyemkataza baba yako asikupeleke shule. Mlaumu baba yako.
sure mkuumkuu wa mkoa ni mkata viuno na mshereheshaji wa mfalme ambae ni rais ila linapokuja swala la maendeleo ya jiji na mipango yote ya kupanga na fedha mayor ndio msimamizi na ndio mwenye jiji kwenye mipango yoyote na hata kiongozi wa taifa lolote anapokuja hapa nchini kama atafikia dsm basi mayor ndie mtu muhimu hata kuliko mkuu wa mkoa,, kwa sasa siasa za lumumba ndio zinafanya kuwa hivi ila ukuu wa mikoa ni ulaji uhamasishaji na kutumia jeshi la polisi kutesa watu na kuwang'oa kucha
****Katika jambo ambalo linanishangaza mno ni suala la ukuu wa mkoa na umeya.Hakika nchi hii ni ya ajabu haina mfano.Inakuwaje mkuu wa mkoa kama wa Dar es Salaam anakuwa anaheshimika na kupewa nafasi katika mambo muhimu huku cheo chake ni cha kuteuliwa tu wakati mameya ndio inabidi wawe na hayo majukumu.
Kwa mfano CRDB walivyotoa mchango wa madawati badala ya kumkabidhi meya wa jiji wamemkabidhi mkuu wa mkoa.
Sherehe na matukio muhimu mkuu wa mkoa ndio anapewa nafasi ilhali meya aliyechaguliwa na wananchi yupo yupo tu.
Matamko muhimu yanatolewa na mkuu wa mkoa huku meya wa jiji yupo tu kimya.
Hii katiba yetu kama ndio inaruhusu huu ujinga ni heri ifutiliwe mbali, haiwezekani mkuu wa mkoa, kateuliwa tu huku meya aliyetokana na kura za wananchi na madiwani wenzake anawekwa kando.
Kiukweli inasikitisha haya mambo.
kwani meya anawajibika kwa mkuu wa mkoa???UNAONA SASAAKILI ZENU ZILIVYO, MNAFIKIRI KAMA VILE MKO KENYE CHUNGU, WEWE UNATAKA KUJUA MKUU WA MKOA NA MEYA NANI YUKO JUU, NADHANI UMEJIJIBU MWENYEWE KUWA KUMBE MEYA YUKO CHINI
Kwahiyo waingereza waliyoleta vyeo vya RCsna DCs ni wakomonisti?Tanzania Meya hajawahi kuwa na heshima
nchi zingine meya anapigiwa kura moja kwa moja
Cheo cha mkuu wa mkoa ni cheo cha mfumo wa kijamaa na ki communists
hawa ni wawakilishi wa Rais...mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya....
Ndo maana katiba ya Warioba ilipendekezwa hivi vyeo vifutwe....
Katika jambo ambalo linanishangaza mno ni suala la ukuu wa mkoa na umeya.Hakika nchi hii ni ya ajabu haina mfano.Inakuwaje mkuu wa mkoa kama wa Dar es Salaam anakuwa anaheshimika na kupewa nafasi katika mambo muhimu huku cheo chake ni cha kuteuliwa tu wakati mameya ndio inabidi wawe na hayo majukumu.
Kwa mfano CRDB walivyotoa mchango wa madawati badala ya kumkabidhi meya wa jiji wamemkabidhi mkuu wa mkoa.
Sherehe na matukio muhimu mkuu wa mkoa ndio anapewa nafasi ilhali meya aliyechaguliwa na wananchi yupo yupo tu.
Matamko muhimu yanatolewa na mkuu wa mkoa huku meya wa jiji yupo tu kimya.
Hii katiba yetu kama ndio inaruhusu huu ujinga ni heri ifutiliwe mbali, haiwezekani mkuu wa mkoa, kateuliwa tu huku meya aliyetokana na kura za wananchi na madiwani wenzake anawekwa kando.
Kiukweli inasikitisha haya mambo.
Happy birthday Noela William Malecela na ndio mwenye jiji kwenye mipango yoyote na hata kiongozi wa taifa lolote anapokuja hapa nchini kama atafikia dsm basi mayor ndie mtu muhimu hata kuliko mkuu wa mkoa,, kwa sasa siasa za lumumba ndio zinafanya kuwa hivi ila ukuu wa mikoa ni ulaji uhamasishaji na kutumia jeshi la polisi kutesa watu na kuwang'oa kucha
ni kweli yani ukienda ofisi za mkoani unakuta kuna jitu linaitwa mkuu wa mkoa,, then kuna katibu tawala wa mkoa (RAS) huyu ndio msimamizi na ndio mwenye pesa za mkoa na hata mkuu wa mkoa hana cha kusema lolote,, ukienda wilayani pia kuna katibu tawala wa wilaya nae pia kuna mkuu wa wilaya na mkurugenzi wa manispaa.Ahsante sana Mkuu, Wakuu wa mikoa na wilaya ni ubadhirifu wa pesa za walipa kodi kwa nafasi ambazo hazihitaji kuwepo na ndiyo sababu hata kwenye rasimu ya Warioba hizi nafasi zilipendekezwa zifutwe.
Hazi - ulitaka kuandika hadhi?Mnashusha hazi ya huku jf jamani. maswali mengine ulizaneni huko huko, hivi mfano, niko hapa arusha, meya anaweza kwenda kusimamia mambo yanayotokea wilaya ya karatu, au ngorongoro, uijibu hilo swali utajua kati ya mkuu wa mkoa na meya nani yuko juu