franklin12xx
Member
- Sep 24, 2014
- 28
- 31
U dc umekuchanganya akili.Hili swali limeulizwa na mtu mwenye akili timamu ama na hawa walevi waliojazana JF! Maana siamini mtu mwenye akili timamu anaweza kuuliza swali lililo wazi kama hili. Ni sawa na kuuliza kati ya mwenyekiti na katubu Mkuu CHADEMA nani ni mkubwa
Huyo mzee (warioba) ni corrupt tu!! Sioni umuhimu wa kumnukuu,Tanzania Meya hajawahi kuwa na heshima
nchi zingine meya anapigiwa kura moja kwa moja
Cheo cha mkuu wa mkoa ni cheo cha mfumo wa kijamaa na ki communists
hawa ni wawakilishi wa Rais...mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya....
Ndo maana katiba ya Warioba ilipendekezwa hivi vyeo vifutwe....
Mnajifariji kwa akili za kijinga kwelikwelimkuu wa mkoa ni mkata viuno na mshereheshaji wa mfalme ambae ni rais ila linapokuja swala la maendeleo ya jiji na mipango yote ya kupanga na fedha mayor ndio msimamizi na ndio mwenye jiji kwenye mipango yoyote na hata kiongozi wa taifa lolote anapokuja hapa nchini kama atafikia dsm basi mayor ndie mtu muhimu hata kuliko mkuu wa mkoa,, kwa sasa siasa za lumumba ndio zinafanya kuwa hivi ila ukuu wa mikoa ni ulaji uhamasishaji na kutumia jeshi la polisi kutesa watu na kuwang'oa kucha
kwahio makonda ni mke wa mkuu wa kaya? kwahio tunatarajia kupata kakilaza kengine kuzaliwa hapo? acha kutumia unyayo kufikiria wewe ushuzi wa lumumbaHause Girl(Meya) na Mama Mwenye Nyumba (Mkuu wa Mkoa)nani anapaswa kuwa juu?
Mnajifariji kwa akili za kijinga kwelikwelimkuu wa mkoa ni mkata viuno na mshereheshaji wa mfalme ambae ni rais ila linapokuja swala la maendeleo ya jiji na mipango yote ya kupanga na fedha mayor ndio msimamizi na ndio mwenye jiji kwenye mipango yoyote na hata kiongozi wa taifa lolote anapokuja hapa nchini kama atafikia dsm basi mayor ndie mtu muhimu hata kuliko mkuu wa mkoa,, kwa sasa siasa za lumumba ndio zinafanya kuwa hivi ila ukuu wa mikoa ni ulaji uhamasishaji na kutumia jeshi la polisi kutesa watu na kuwang'oa kucha
Huna lolote unalolijua,Hili swali limeulizwa na mtu mwenye akili timamu ama na hawa walevi waliojazana JF! Maana siamini mtu mwenye akili timamu anaweza kuuliza swali lililo wazi kama hili. Ni sawa na kuuliza kati ya mwenyekiti na katubu Mkuu CHADEMA nani ni mkubwa
acha uboya wewe mzibua vyoo wa lumumbaMnajifariji kwa akili za kijinga kwelikweli
Mkuu wa kaya ya Dar es Salaam ni nani kama siyo RC? naona haukunielewa wewe kihiyo wa UDOMkwahio makonda ni mke wa mkuu wa kaya? kwahio tunatarajia kupata kakilaza kengine kuzaliwa hapo? acha kutumia unyayo kufikiria wewe ushuzi wa lumumba
warioba pamoja na makofi alio pigwa kisa vyeo bado yuko pale pale,, kweli njaa uondoa hekimaHuyo mzee (warioba) ni corrupt tu!! Sioni umuhimu wa kumnukuu,
Mwanae kishapewa ukuu tayari.
wewe mkimbiza mwenge wa lumumba acha ukilaza wako wewe,,, huyo sio mkuu wa kaya ya dar es salaam yeye ni mke wa mkuu wa kaya kama ulivyo sema ndio maana siku hizi tumbo lake limekuwa kubwa,, tutarajie kakilaza kama wewe kuzaliwa,,, unajua nyie watoto mliopatikana kwenye mikesha ya mwenge ndio tatizo lenu hapo linakujaMkuu wa kaya ya Dar es Salaam ni nani kama siyo RC? naona haukunielewa wewe kihiyo wa UDOM
Sasa unachokisema ni matusi na pengine kwa sababu tu ya wivu wa Makonda kuwa RC huku wewe ukiswaga lami na yeboyebo. Siyo mimi niliyemkataza baba yako asikupeleke shule. Mlaumu baba yako.wewe mkimbiza mwenge wa lumumba acha ukilaza wako wewe,,, huyo sio mkuu wa kaya ya dar es salaam yeye ni mke wa mkuu wa kaya kama ulivyo sema ndio maana siku hizi tumbo lake limekuwa kubwa,, tutarajie kakilaza kama wewe kuzaliwa,,, unajua nyie watoto mliopatikana kwenye mikesha ya mwenge ndio tatizo lenu hapo linakuja
wewe mkimbiza mwenge wa lumumba acha ukilaza wako wewe,,, huyo sio mkuu wa kaya ya dar es salaam yeye ni mke wa mkuu wa kaya kama ulivyo sema ndio maana siku hizi tumbo lake limekuwa kubwa,, tutarajie kakilaza kama wewe kuzaliwa,,, unajua nyie watoto mliopatikana kwenye mikesha ya mwenge ndio tatizo lenu hapo linakuja
Wivu tu hizi, sioni hoja ya msingi, pole.warioba pamoja na makofi alio pigwa kisa vyeo bado yuko pale pale,, kweli njaa uondoa hekima
Umesahau kuwa haya ni Man.y.u.mB?Mnashusha hazi ya huku jf jamani. maswali mengine ulizaneni huko huko, hivi mfano, niko hapa arusha, meya anaweza kwenda kusimamia mambo yanayotokea wilaya ya karatu, au ngorongoro, uijibu hilo swali utajua kati ya mkuu wa mkoa na meya nani yuko juu
duh sasa mimi na wewe nani wa kumlaumu baba yake? kwanza utoke kukaa kwa wazazi wako tafuta maisha yako ndio uje hapa kubishana na watu wazima,, bado unanyonya kwa wazazi unaleta mabishano na baba yako wa kambo? kuwa na adabu wewe kilaza wa lumumbaSasa unachokisema ni matusi na pengine kwa sababu tu ya wivu wa Makonda kuwa RC huku wewe ukiswaga lami na yeboyebo. Siyo mimi niliyemkataza baba yako asikupeleke shule. Mlaumu baba yako.