Tuweke kumbukumbu sawa kwaiyo Netanyahu Anakwenda lini ULAYA nasisi Tusubili kuona NETANYAHU Akipokewa uko ULAYA !!!?Mkuu uhusiano uliokuwepo kati ya Slobudan na NATO huwezi kuulinganisha na uhusiano uliopo kati ya Netanyahu na NATO
Hakuna nchi ya EU ama NATO wanaoweza kumkamata Netanyah, hizo nchi zinaiheshimu sana USA,
Kumkamata kiongozi wa Israel unakuwa umemkamata kiongozi wa USA
Kama HATI aitafutwa basi
Mm nawaambia iyo Siku aipo NETANYAHU kashapeana Talaka ya Milele na ULAYA!!!!