Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amjibu Shigongo

Bab Tale mwenyewe analazimisha mikao tu hana tofauti na Shigongo..
 
Shigongo ana roho mbaya sana Mzee huyu halafu anajitia mkristu...


Mbona yeye alikataa kumpunguzia ndugu yangu bei ya kuweka banda la chips kwenye zile frem zake pale roby one , Africa sana.

Alimbania jamaa yetu akimwambia awe analipia eneo kwa siku 25,000 , ila same area kaweka ndugu zake wasukuma tena wengine hata hela hawalipi...


Huyu jamaa ni mnafiki sana... Asidhani hatumjui sema hatuna platform ya kumsema kama yeye anavyotumia hivyo vo jarida vyake kusema watu hovyo
ACHA CHUKI BINAFSI WEWE
 
Shingongo bana akiwa na bifu anataka kila mtu ajue. Kuna kipindi alikuwa na bifu na uwoya kisa wanakijua wao,jamaa akapiga stop kuandika habari za uwoya kwenye magazeti yake huku akijitapa alimpandisha umaarufu na atamshusha. Saiv zamu ya dai na team yake jaman
ila technology imekuja kuwaondoa wale wote waliokuwa wanajifanya miungu watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom