Medical Centre

KIJANA2013

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
466
201
Habari wana JF

Naomba kufahamishwa tofauti zilizopo kati ya Dispensary, Medical Centre na Health Centre kulingana na sheria na taratibu za Nchi pamoja na Wizara ya Afya.

Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…