Media za Kibongo zimekosa ubunifu

aisee kama redio zilishanishinda kusikiliza mana kila anaeanzisha redio anataka kuwa kama clouds mwisho wa siku wamebaki kuajiri watu wasio na taaluma basi wanaongeza na mbwembwe zao mwisho inakuwa kituko sio kituko havichekeshi wala havieleweki, radio nasikiliza za dini tu, na hizo station za nyumbani sijui mara ya mwisho sijui lini niliangalia
 
hahaha!!!yani ni bora usikilize gospel na mahubiri ya kina Gamanywa na Rwakatare kuliko kusikiliza redio zao hizi
 
Back
Top Bottom