WISE 2012
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 634
- 460
Ndugu zangu wanasimba tuache ubwege...badala ya kutumia kipindi hiki kuijenga Team yetu tunahangaika na Yanga hili litatusaidia nini? Tazama Yanga bado ipo sana kimataifa wana mechi nne bado tutaendelea kuwaona na wataendelea kutuumiza sana kwani hata wakimaliza mechi hizo tyr ni mabingwa mwakani tena wanashiriki kimataifa..hivi tutaendelea kuhangaika na Yanga mpaka lini??Inaniuma sana...Yanga wataendelea kutukashifu sana tu...mpaka sasa hatuna kocha na hatuna wachezaji wa maana halafu tunahangaika kuibeza Yanga...sasa mwakani tunashuka daraja sijui tutahamia rasmi kushangilia Yanga?Inauma sana.Hivi aliyeturoga kafa??