Mdudu yupi kati ya hawa anakera zaidi ukimuona ndani nyumbani kwako?

Angalau mjusi atakula wadudu waharibifu, cyo panya na mendi hata kuwackia sitaki mie.
 
Maisha mafupi haya tunaandika tu ili mradi maana imeeleweka

Maisha ni magumu pale unapotaka kuniambia Panya na mjusi ni wadudu NDIO MAANA nikayafanya yawe marahisi kwa kusema hapo mdudu ni MENDE TU...Hahaha
 
panya ni mharibifu lkn hawa wengine hawana madhara
We!we!!we!!!haujui mende wanavyoharibu paper kwa wardrobe,wanakula na kunyea mumomumo.,sitaki kabsa kumuona wala kumskia ndani mwangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom