Kwanini haukumtengenezea mazingira ya kujichunga mwenyewe mpaka umchunge mtu mzima mwenye akili timamamu?OK; Nadhani muda ukija kujaliwa kuwa na binti wa kumzaa ww mwenyewe au mdogo wako wa tumbo moja na akafikia hatua hiyo ya kujiunga chuo, ndipo utaweza kuelewa kwa nini kuna hali ya wasiwasi kama aliyo nayo huyu mwenzetu mwenye mdogo wake (binti) anayekwenda chuo. Ni rahisi sana kulichunga kundi la ng'ombe 100+, kuliko kumchunga mtu/binadamu mmoja tu mwenye akili timamu. Unaweza kuchizika aisee.
Na kama hesabu haipandi ndo tunaoa kabisaa🤣🤣🤣😋😋😋😋Zikianza presentation na take home assignment huku kuna na mid test basi mleta mada atakua keshapata shemegi zamani
Oya mwamba wana wanakutafuta kule jukwaa letu utupe hata odds 6 tu za weekend!Anza kuoga maji ya mwamposa na mafuta kila asbh akuna atakaemwona
Duuu🤣🤣 hii ya mara saba hapana, kuna mdao hakukojoa siku tatu kmmk akajua kalongwaa🤣Mundende...
😂😂😂😂😂😂 Inapakwa mara saba......
Huyo semistar ya kwanza atakaza..
Ila ya pili lazima wajuba wamnawe😂🙌🙌🙌🙌
Mbona kuna watu hawakuhi kutafuna na walitafuniwa wadogo zao.Kama ulitafuna watoto wa watu mzee jiandae pia dada yako kutafunwa,Simple tuu.
Tangulia najampwaOya mwamba wana wanakutafuta kule jukwaa letu utupe hata odds 6 tu za weekend!
Daaah mkuu kwa sisi tunaoshinda na mashangazi huwa tunapaka tuu uncountable....Duuu🤣🤣 hii ya mara saba hapana, kuna mdao hakukojoa siku tatu kmmk akajua kalongwaa🤣
Huyo sasa anaenda kuupata uhuru kamili.Hajasoma saint kayumba. Geti kali home na shuleni kuonana ni visting day tu.
sema maisha uliyoishi, badilisha hapo unaposema umeshuhudiaMaisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.
Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu mdogo wa miaka 18 tu?
Wakware wasije wakapita naye mapema na kumharibia future.
Aah! Kwa maisha niliyoyashuhudia chuo, mwili unasisimka ninapoona mdogo wangu wa kike anaelekea huko.
Malipo ni hapa hapa mkuu,unataka atafunwe wapi ?Mbona kuna watu hawakuhi kutafuna na walitafuniwa wadogo zao.
Hili suala halina formula mkuu
Ndo maana nimemaliza kwa kusema akienda huko ni yeye kukosa mahitaji isiwe sababuBado kuna kitu hawezi kumpatia, atapatiwa na wengine
Atleast sababu isiwe kukosa mahitajiAnaweza akapata kila kitu na akafanya mambo ya hovyo anayohofia huyu mleta mada
Kama pisi imesimama lecturers ni tatizo kubwa sanaAkiwa na msimamo na akijiepusha na makundi maovu mbona anamaliza salama tu?
Sema pesa ya matumizi usigeneralize mahitaji, hata sex ni mahitajiNdo maana nimemaliza kwa kusema akienda huko ni yeye kukosa mahitaji isiwe sababu