Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,042
- 8,681
Kwanini haukumtengenezea mazingira ya kujichunga mwenyewe mpaka umchunge mtu mzima mwenye akili timamamu?OK; Nadhani muda ukija kujaliwa kuwa na binti wa kumzaa ww mwenyewe au mdogo wako wa tumbo moja na akafikia hatua hiyo ya kujiunga chuo, ndipo utaweza kuelewa kwa nini kuna hali ya wasiwasi kama aliyo nayo huyu mwenzetu mwenye mdogo wake (binti) anayekwenda chuo. Ni rahisi sana kulichunga kundi la ng'ombe 100+, kuliko kumchunga mtu/binadamu mmoja tu mwenye akili timamu. Unaweza kuchizika aisee.