supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,012
- 1,955
- Thread starter
- #21
asanteni wakuu kwa majibu yenu, nshaelewa la kufanya, nlitaka ona ntapingwa kwa kiasi gani na kupewa go ahead kwa kiasi gani pia!! Nitaleta mrejesho
Nimemzidi 9 yearsTofaut ya umri Wenu wewe na Huyo binti ni miaka mingap ?
Kwan huyo x ulkuwa umemuoa had uogope ivyo,we kama unapendwa nenda
Ha ha hamanfongo hakukosea na nyimbo yake
Hapa itabidi nifanye hivi kwel, maana naona kama naanza mpenda, ananifanya niwe namfikiria mara kwa maraKawaulize wazee wa mila huko kwenu ndo wanajua maadili ya kabila lako!
Kuna makabila hilo jambo halina shida, wengine lina shida!
Anzia huko kwanza
Dada ake hakuwa amemove on vizur hata baada ya kuolewa, coz huwa ananikumbushaga sana mambo ya zaman na akitaka hata ikumbushwe kidogo!!!! i think ni ile tamaa ya ndoa, so nadhan hapa unajua nn kitatokeaWasiliana na Ex wako upate mawazo yake
sawa sawanyoosha had golin kafunge kabisa
Early 30'sUna umri gani kwani mkuu?
Na Dada yake ulimzd mingapNimemzidi 9 years
5 yrsNa Dada yake ulimzd mingap
Mkuu umesema kwel....alikuwa na mazoea ya kuja huku nilipo, sometimes na dada yake au wakati mwingne mwenyewe!Sikia sasa nikushaur katika kosa ambalo utalifanya ni kuacha evidence juu ya Huyo shemej yako.
Hii ina maana kwamba kama unataka utembee nae hakikisha Hakuna sehem ambayo inaonekana umemtongoza kabisa
Unaweza kumuita kwako kama hua anakuja as long as anaonyesha nia ya kumegwa na wewe then hapo hapo unamaliza kazi.
Otherwise kama humuhtaj Anza ku muignore tu akipiga simu msg sio lazma ujibu au kupokea.
Ukishindwa yote hayo sasa ntaelewa kwann ex wako alikusalit kwa kidume kingne
BAS kama ni hvyo Sawa malizana naye maana roho ya kummega tayar imeshakuingia huwez ukamuachaMkuu umesema kwel....alikuwa na mazoea ya kuja huku nilipo, sometimes na dada yake au wakati mwingne mwenyewe!
BAS kama ni hvyo Sawa malizana naye maana roho ya kummega tayar imeshakuingia huwez ukamuacha
Vingnevyo Vizur Kula na wenzio