Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,058
- 707
Kuelekea Maadhimisho ya siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, UWT imeandaa mdahalo wa Kitaifa wenye Dhima ya Nafasi ya Wanawake ndani ya miaka 60 ya Muungano. Tulipotoka, Tulipo na Tunapoelekea litakalofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam Tarehe 25 Aprili, 2024.
UWT Motooo, Motooo 🔥🔥
UWT Motooo, Motooo 🔥🔥