Mdada, weka sifa kuu ya mume umtakae

Hata wao unadhani wanajua wanataka nini..??

Atakwambia intelligent nigga, tallest guy in the world, six packs, big pipe with big balls, charmig, na makorokoro meeengi,,..!

Atokee thatha kama huyo na mwenye pessa ila Eskimo, ana kitambi ka debe la mchanga, kauzu ka papaa mutoto ya ng'ombe cjui ndama

uone utakavyoonwa Nnya ilonyeshewa mvua., !!
Eti big balls!!!
 
Mmhh! Tunaeleweka bana tatizo mmeshajijengea kwamba wanawake hatujui nini tunataka.

Shida mnataka wanawake wote wafanane wanavyovitaka wakati haiwezekani kwa sababu hata nyie wanaume mpo wa kila aina.
Kweli kabisa
 
Hata wao unadhani wanajua wanataka nini..??

Atakwambia intelligent nigga, tallest guy in the world, six packs, big pipe with big balls, charmig, na makorokoro meeengi,,..!

Atokee thatha kama huyo na mwenye pessa ila Eskimo, ana kitambi ka debe la mchanga, kauzu ka papaa mutoto ya ng'ombe cjui ndama

uone utakavyoonwa Nnya ilonyeshewa mvua., !!
Wenyewe tu hawajui wanataka nini.
 
Mleta hoja labda ungefafanua zaidi.Sifa za Kiumbo au Sifa kwa maana ya tabia.Wanawake wengi wa kiafrika (niwasemee) kitabia 99% hawapendi wanaume wanaovuta Sigara.Hawapendi Sigara.....
 
Back
Top Bottom