Rayvanny wa jamiiForums
Senior Member
- Apr 7, 2023
- 132
- 351
Mdada unaetafuta mume usijifungie ndani toka angalau nje ujipitishe pitishe uonekane huwenda ukampata mwenzio, alafu ukiwa unatembea tembea usiwe unatembea haraka haraka na ukiitwa itikia siyo unakuwa kama bubu.
Alafu ukitafutwa usiuluze namba yangu umeitoa wapi mume hapatikani hivyo changamka bwana, kama ikitokea umetumiwa meseji jibu wanaume huwa hawana mawili kwenye moja ukipuuzia meseji hizo utazeekea kwenu shauri yako.