Udenda umentoka yakhe Angel Nylon umepika wewe hii?
Karibu Pemba dadangu ndo makazi yangu mapya. Utakula pweza adi ukinaiUdenda umentoka yakhe Angel Nylon umepika wewe hii?
Hiyo ya dar haina lolote unatakiwa upate kitu chenyewe uone shughuli yake
Karibu Pemba dadangu ndo makazi yangu mapya. Utakula pweza adi ukinai
Wakutosha, ukitaka kambakoche,uduvi, yaan wewe tu.Ahsante mdogo wangu nakuja huko dagaa vipi lipo?
Hii ni nzuri tu hata kama haujajazwa!...Octopus .....dah tamu sana nakumbuka kipindi cha mimba mpaka nipate supu yake na vipande vyake ndiyo naenda home .
Ukishapiga hiyo shushia "tende punch" juice ya tende ... weee!
Kipindi nimejazwa ilikuwa na lazma nipate tofauti na sasa naweza nikaipita na isinitoe udenda.Hii ni nzuri tu hata kama haujajazwa!...
Ukionja hutoacha. Ni kama the late Mwl.Nyerere alivyosema ukionja nyama ya mtu huachiSijawi onja huwa nikiiona nasikia kinyaa flani hivi.