Kuelekea 2025 Mchungaji Msigwa na MNEC Kasesela kuunguruma Iringa Mjini 20/07/2024, wataelezea Mabaya yote ya CHADEMA mkoani hapo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usipange kukosa mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini tarehe 20 July

Mengi ya Chadema usiyoyajua yatawekwa hadharani siku hiyo

Ahsanteni Sana 😂😂

Kwako Mzee Mgaya
Ni yepi tusiyajua ya cdm je inteligensia ya ccm iliyajua ikakaa kimya
Usipange kukosa mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini tarehe 20 July

Mengi ya Chadema usiyoyajua yatawekwa hadharani siku hiyo

Ahsanteni Sana 😂😂

Kwako Mzee Mgaya
Safi watatueleza kuwa kupanda kwa bei ya sukari ni cdm wanasabisha
 
Kwakuwa Watanzania ni wajinga basi wataambiwa mabaya ya Chadema ambao hawaongozi Serikali na aatashangilia ila baada ya mkutano watarudi nyumbani kupata tabu za maji, umeme na shida kibao ambazo zimesababisha na waliokuwa wanawahutubia.
Hebu fikiria Taifa lina Chama kinatumia muda na rasilimali kukisema chama ambacho hakiongozi serikali na kaucha kuelezea sababu za wao kushindwa kutatua shida za watu hao.
 
Wananchi wa Iringa wataiona betray kwa macho yao kabisa. Sipati picha ni namna gani mioyo yao itajaa maumivu.
Kitu kimoja ambacho Mchungaji Msigwa alikisahau ni kwamba Iringa kuna ukabila uliojificha

Ndani ya CCM ni vigumu Sana asiye muhehe Kuchaguliwa na hata akipenya Kura za maoni huko mbele Wapiga kura wa Chamani " Wanazira"

Hiyo ilimtokea Dr Kitine na baadae Mwakalebela

Hata Chadema alikutana na hiyo changamoto kwa akina Kimbe ila kwa sababu Chadema Wapiga kura wake wengi ni Vijana kama Gen Z hilo halikuwa tatizo
 
Usipange kukosa mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini tarehe 20 July

Mengi ya Chadema usiyoyajua yatawekwa hadharani siku hiyo

Ahsanteni Sana 😂😂

Kwako Mzee Mgaya
Pamoja na Mfumo dhaifu wa Cdm
Nashauri Kama Angekuwa na msimamo na Nia njema angejiuzulu siasa
Ila hapo anajidhalilisha na kuonyesha unafiki mkubwa

Ccm watamtumia Kama nini
Baada mienzi miwili mitatu atasauhulika kabisa
Na Kama hamtampa hata udc ndo atapotea mazima
 
Back
Top Bottom