chingyeddy
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 339
- 136
Nilishaapa Haitakuja kunitokea
si ni wa Dar,wako soft than a steaming shitYaani mwanaume wa leo bado unalilia mwanamke?...inbox nikugawie dada yangu.
Mm bado nnajitegemea, bado nnaumachinga wangu mkuu. Pesa ya kula haisumbuiPole...sasa itakuwaje maisha si ulikuwa unamtegemea yeye
Asante kaka!Mwanaume unalia nini? Hujui kakufanyia favor, yaaan mwanamke miezi 2 tu alishapata na mchumba na ameashatangaza fb bado unaamini una mke hapo? Sikia kijana, jichange anza... Endelalea na mishe zako
Thanks! Et kosa langu kutomtafuta kwa miezi 2 hapo hapo akaamua kuwa na mwanaume mwinginePole sana mkuu, inauma lakini hakuna namna jikaze na Mungu atakujalia zaidi ya huyo cha msingi acha kumtafuta kbs, usimpe kichwa ajione kuwa ni mzuri saaaana, nikutie moyo tu kuwa wanawake wazuri wa sura na tabia wenye kazi zao nzuri na wenye elimu ya juu wapo lakini hawajapata bahati ya kuolewa, mwaache huyo na ulimbukeni wake atakuja kujuta maana hata huyo aliyempata anamdanganya tu.
Siku zote Mwanaume ukishamuoa Mwanamke aliyekuzidi KIPATO NA ELIMU utaimba haleluya kabla ya kufa na presha ya kupanda na kushuka.Hapo tatizo ni kipato!Kaisha jua kuwa yy anaingiza kipato zaidi yako
Haina haja ya kulia,ongeza juhudi then mambo kwenye akaunti yakiwa mazuri atakuja mwenyewe
Hawa wana thamini sana hela!
Jitahidi kusonga mbele umsahau huyo...kama walivyosema wadau atakuja tena atakuja anatammbaa...huo ndo utakuwa wakati muafaka wa kuonyesha wewe ni mwanammeMm bado nnajitegemea, bado nnaumachinga wangu mkuu. Pesa ya kula haisumbui
Lkn sisi tunawaoa hata wa darasa la 4 na maisha yanasonga mbele tu!Mwanamke kama ana make zaidi ya mwanamme mara nyingi ndani huwa vuruguSiku zote Mwanaume ukishamuoa Mwanamke aliyekuzidi KIPATO NA ELIMU utaimba haleluya kabla ya kufa na presha ya kupanda na kushuka.
Lakini wahanga wakubwa wa haya mambo ni wanaume dhidi ya wanawake......Hata waume waliosoma wako hivyo mkuu wengi tu
Kwahyo wa degree n kwa ajili ya degree mwenzakee mkuuPole sana ndugu ,hapo tatizo ni pesa yy tayari amesha ona maisha mengn inshort hakupendi, ndomana na encourage wanaume mujitahidi kutafuta wa level yk. Form four oa form four au std 7 hawa wanawake walio fika mbali kukuzidi utakufa kaka angu,tafuta pesa oa mke mzr, maisha yakisha mpiga atarudi kwa magoti.pole sn
Nakubaliana nawe kiongozi, sijui nn kifanyike sasaLakini wahanga wakubwa wa haya mambo ni wanaume dhidi ya wanawake......
Ukimaliza kulia utajua la kufanyaNdugu zangu mm ni kijana miaka 30,elimu yangu ni kidato cha 4. nina mchumba ambaye ukweli nnapenda sana, nimekuwa nae kwenye mahusiano, kuanzia 2014 alipo maliza tuu degree ya uhasibu pale tia, nilikutana nae mtaani tuu ndipo mahusiano yakaanza.
Tumebahatika kupata mtoto wa kike 19. 10 2015, mwenzagu kwa sababu anavyeti alikuwa amesha apply kazi sehemu tofauti tofauti na bahati nzuri 2015 alipata kazi selikarini. Alipo pangiwa sehemu ya kazi ikabidi tukubaliane mm nimfuate, ingawa kipindi hicho nilikuwa na umachinga wangu Dar, kweli baada ya miezi kadhaa mm niliamua kumfuata mpenzi wangu ili tuishi pamoja, maisha yamesonga ingawa mikwaruzano ya hapa na pale ni mingi tumeishi hivyo hivyo.
Mwezi wa kwanza walipewa maelekezo na tasisi waende kusoma, Short courses ya miezi 4, ameenda na mtoto baada ya wiki akamuachisha mtoto ziwa ili awe na muda mzuri wa kusoma mtoto akampeleka kwa bb yake huko huko dar. Kwa hili mm niliona ni sawa ili awe na muda mzuri wakujisomea maana mwisho wa siku wafanye tena mitihani.
Tulikuwa tunawasiliana vizuri tuu. Muda wowote ule, baada ya wiki tatu, ndipo matatizo yalipoanza, kuna siku nilimpigia simu zote mbili zikawa hazipatikani, sikujua shida ni nini kwa sababu tulikuwa tumeshazoeshana kujulisha kwa kila hali mm hiyo siku nilipaniki nilipiga simu usiku mzima simu zikajapatikana saa 3 asubuhi kumuuliza anasema ziliisha chaji, wakati huo huo, usiku niliingia WhatsApp niliona last seen yake ilikuwa saa8:43 usiku.
Nilishidwa kuelewa, nilimtukana sana kwasababu ya hasira ila yy akawa ananicheka, nilimuambia kuongea na mm lazma anipe sababu za kuridhisha sikumuamini kwa sababu ya kuonekana online usiku.
Sikumtafuta nikiamini kwamba lazima anitafute angalau aniombe msamaha, imepita miezi 2 bila mawasiliano, nimekuja kusitukia sasa mm nnahitaji mawasiliano nae tayari yupo kwenye uhusiano mwingine huko huko chuo eti ameshachoka kusubili hasira zangu ziishe, na ananitamkia wazi hataki tena kuishi na mm sababu sijamtafuta miezi 2, nimelia sana nmemuomba mm kama nilikosa anisamehe aachane na jamaa hataki anasema nimeshachelewa kusolve tatizo.
Nnapiga cmu anakata nnatuma sms hazijibiwi, na hadi fb ameandika ameingia kwenye uhusiano mpya. Ndugu zangu nnalia sijui cha kufanya, ukweli nnampenda sana.
Amekwambia form 4 harafu we unaandika kiswanglish... Utakuwa unamsaidia kweli?Dear If I was you ..as bitter as it is ningeshukuru Mungu for the everything .. Huyo hakuwa wako my Kaka subiri wako anakuja.. Just move on by taking a time off on dating for a while .. Take care of your child with all your heart .. Invest your time on Praying, your child and work.. Na God will heal you.. Dont worry huyo yakimmshindwa mbona atakukumbuka na kurudi kwa kasi kwako.. But never take her back because hakuthamini Upendo wako bali alithamini money , forget her dear , she is not worthy for your tears to come out ... Nakuhakikishia she will pay for your tears huko ataaishia kuchezewa na kupotezewa muda .. Why? For what she did to you.. Unajua ni bora MTU akucheat , au ku lie then can do that the way she did.. But you didnt ... Ni wivu tuu wa kummpenda ... Sasa wait the outcome yake ya ku reap for what she sowed .. Soon it will come .. Pole sana... Thanks..
Elimu ya dini ni muhimu sana....mwanamke mwenye elimu ya dini anakuwa na hofu ya Mungu na kuenenda katika njia nyoofu....kwani anajua kuwa akimtendea mabaya mumewe si tu kuwa atamchukiza mumewe bali pia atamchukiza mwenyezi Mungu......na hapo ndipo inapojengeka ndoa ya ukweli....Nakubaliana nawe kiongozi, sijui nn kifanyike sasa
Asante dada, lakin sijajua kama mm ndo mwenye kosa. Au yy for me i thought atatafuta namna ya kulisolve hili tatizo kumbe mwezangu anamawazo mengine kabisaDear If I was you ..as bitter as it is ningeshukuru Mungu for the everything .. Huyo hakuwa wako my Kaka subiri wako anakuja.. Just move on by taking a time off on dating for a while .. Take care of your child with all your heart .. Invest your time on Praying, your child and work.. Na God will heal you.. Dont worry huyo yakimmshindwa mbona atakukumbuka na kurudi kwa kasi kwako.. But never take her back because hakuthamini Upendo wako bali alithamini money , forget her dear , she is not worthy for your tears to come out ... Nakuhakikishia she will pay for your tears huko ataaishia kuchezewa na kupotezewa muda .. Why? For what she did to you.. Unajua ni bora MTU akucheat , au ku lie then can do that the way she did.. But you didnt ... Ni wivu tuu wa kummpenda ... Sasa wait the outcome yake ya ku reap for what she sowed .. Soon it will come .. Pole sana... Thanks..
Pole sana ndugu ,hapo tatizo ni pesa yy tayari amesha ona maisha mengn inshort hakupendi, ndomana na encourage wanaume mujitahidi kutafuta wa level yk. Form four oa form four au std 7 hawa wanawake walio fika mbali kukuzidi utakufa kaka angu,tafuta pesa oa mke mzr, maisha yakisha mpiga atarudi kwa magoti.pole sn