Mchoraji wa nembo ya Taifa ahamishiwa Hospitali ya Muhimbili

Hili suala hata mimi linanichanganya, kwani wanaume wa Tanzania tunavaa sketi? Au hiyo miaka ya uhuru walikuwa wanavaa magauni? Mbona Nyerere picha zake zote yupo smart na suruali yake amechomekea vizuri na shati limenyooka pasi..? Ngoja apone aje ajibu hizi lawama!

We kijana acha maneno matupu. Nyerere alivaa sana hayo magauni (gowns)

b12f98c9247e7a43092a66863be5640d.jpg
jfksg-mo-1963-1036-mains.jpg
 
kwani huyu hakulipwa mafao yake ,nadhani apewe matibabu kama sera yetu ya afya kwa wazee na watoto (AFYA BURE) inavoelekeza . wazee wa umri wake ambao hawkufanya lolote wanatibiwaje . Hizi ni cheap popularity on social media politics. Sera iko wazi na ifuattwe
Angeishi marekani wangempa Medal of Freedom... the highest civilian honor in US. Russia angepewa medali ya Hero of the Russian Federation. Nchi yetu imejisahau sana katika kuwatambua mashujaa wake na kuwaenzi. Huyu mzee anapaswa kuenziwa.
 
Huyu mzee nikionana naye nitamuuliza kuhusu hili la kuweka mwanaume aliyevaa sketi kwenye nembo ya taifa na maana yake ni nini hasa.
Nakumbuka nikiwa primary ilinipa shida sana kutofautisha na pia kuniacha na maswali mengi
Mfuate Muhimbili ili akuondolee ukilaza wa kujua nguo ya upande mmoja wa bega alovaa mwanaume.
 
Jina lake lipewe taasisi fulani kama ukumbusho.
Hiyo nembo ina nguvu kama utambulisho wa dola iliyo ja uhuru
 
Huyu mzee aheshimiwe kama nembo ya Taifa letu! Mchango wake ni mkubwa sana!
Ajengewe Nyumba na apatiwa mtumishi hadi mwisho wa uhai wake!
Yule mrithi wa mwenzake naye afutwe machozi kama 10m
 
Asiyethamini historian take hakika ni MTUMWA.
taifa letu ni la WATUMWA vijana wetu ni mabingwa wa kujua upuuuzi wa ULAYA sababu taiga letu limepuuuza watu wake walioasisi Taiga hili.
Amebaki NYERERE peke yake ambaye siku zake za kupuuzwa zinahesabika.
Siku moja nilimsikiliza mbunge Sugu akimtaja SETH BENJAMIN pale bungeni naamini ni wabunge wachache vijana waliomtambua MTU huyu. Taifa liko UTUMWANI watawala wetu kwa kuwa wamefika ULAYA wameona utamaduni wa ULAYA basis huu wa kwetu ni WAKISHENZI ni bora upotelee mbali.
Nani mchora nembo jiulize ukitazama filamu ya vita vya UGANDA askari anayeamrisha kwa ukakamavu na uzalendo kwa taiga lake yuko wapi?
Sherehe za mashujaa ni wapambe waongo wazugaji waropokaji ndo hutambuliwa na kuwekwa mbele wakipewa sofa zisizo zao.
 
Hawa Wazee Walikuwa Wanakula Bata Wakasahau Fainali Uzeeni, Huyu Atakuwa Alilipwa Stahiki Zake Zote Na Alipaswa Kujipanga, Sikatai Wakati Fulani Hesabu Zinakataa Lakini Pia Sisi Tuchukulie Hili Funzo Kwetu, Leo Hii Tuna Nguvu Na Akili Na Kipato Cha Wastani Lakini Tumeelekeza Kwenye Starehe, Miaka Ijayo Tuanze Kusumbua Jamii Kwenye Mitandao
 
Mwenyez Mungu amponye huyu babu jamani


......akipona aulizwe kwa mini mwanaume kavalishwa gauni kwenye hiyo nembo
 
Hawa Wazee Walikuwa Wanakula Bata Wakasahau Fainali Uzeeni, Huyu Atakuwa Alilipwa Stahiki Zake Zote Na Alipaswa Kujipanga, Sikatai Wakati Fulani Hesabu Zinakataa Lakini Pia Sisi Tuchukulie Hili Funzo Kwetu, Leo Hii Tuna Nguvu Na Akili Na Kipato Cha Wastani Lakini Tumeelekeza Kwenye Starehe, Miaka Ijayo Tuanze Kusumbua Jamii Kwenye Mitandao
Siamini katika umri wao kama walikula bata na kujisahau. Labda tu kwa vile hatuijui historia ya nchi yetu miaka ya nyuma. Mtu unafanya kazi mpaka unastaafu huna akiba hata ya kununulia kiwanja zaidi ya kutumia mafao kidogo utakayopata. Masuaka ya mifuko ya jamii na pensheni bora vimeanza juzijuzi. Kumkebehi mtu kuwa anakauja kusu,bua watu kwenye mitandao ya kijamii ni dharau iliyopitiliza. Hapo ulipo hujui kesho yako itakuwaje. Unaweza kupata ulemavu na ukaishi maisha ya taabu kuliko hata huyu mzee. Chunga sana kauli zako kwa kujiona ushaachana na shida za hapa duniani. Umeniudhi na kunikera kwa kuigamba kwako. Inaonyesha huijui vizuri historia ya mtumishi wa Tanzania hasa wastaafu wa miaka ya 80.
 
Mpaka media ziwaumbue ndo wajitoe kimasomaso? Tunawapongeza lakn badlken jaman. Ua astonishing and a bashing us.
 
Screenshot from 2017-05-25 15-37-34.png

Mzee Francis Maige maarufu Ngosha, aliyechora nembo ya Taifa ya bibi na bwana amehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akitokea Amana alikokuwa amelazwa tangu jana (Jumatano).

Ngosha amehamishwa hospitalini hapo baada ya Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla kumtembelea leo asubuhi kumjulia hali.

Katika mazungumzo, Ngosha amesema alichora nembo hiyo akiwa na mwenzake Ali Pangani ambaye amefariki dunia.

"Nimetumwa nije kumuona mzee wetu aliyechora nembo ambayo ni utambulisho wa Mtanzania, tumemhamisha hapa na kumpeleka Muhimbili kwa matibabu zaidi," anasema Dk Kigwangalla.
 
Aliyebahatika ni marehemu Mzee Morris Nyunyusa tu lakini wengine kama huyu na Captain Nyirenda waliishi na kufa vifo vya taabu sana

nyirenda+cropped+DSC02734.jpg


Captain Nyirenda
Mzee Nyunyusa alibahatika vipi? Maana magoma yake kila siku TBC lazima yagongwe, yeye walimkumbuka?
 
Back
Top Bottom