MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,182
- 4,359
Wakala wa mchezaji Ellie Mpanzu anayefahamika kwa jina la Papida amesema mchezaji wake bado anadai sehemu ya malipo yaliyobakia ambapo inadaiwa mpaka sasa kuwa hayajakamilishwa.
Papida ameweka ngumu kwamba kama malipo hayo kama hayatakamilishwa mpaka kufikia Ijumaa hii basi wasitarajie kumuona mchezaji huyo akirejea kunako Ligi kuu Bara.
Inaelezwa kwamba tangu Jumatatu mchezaji huyo hajaonekana katika viunga vya mazoezi ikidaiwa kwamba anahitaji kukamilishiwa deni lake ndipo aendelee na ratiba ya kusalia klabuni hapo.