Mchepuko umekuja kupanga nyumba ninayoishi na familia yangu

What goes around comes around. Mnaambiwa kila siku kuwa malipo ni hapa hapa duniani mnabisha.
.
.
Kosa lako wewe ni moja tu. Umepata mchepuko hlf ukajifanya huna mke? Ili iweje labda? Kuweni wakweli kwenye michepuko yenu.
.
.
Dada wa watu ndio ameshahamia kazi unayo. Usitusumbue!
.
.
Raha lakini maana ukigeuka huku wife..huku mchepuko. Hata huboreki!
 
We wwee! Penzi kikohozi... Either amweleze ukweli huyo mchepuko na aingie gharama za kumuhamisha hapo au amuache kabisa. Hiyo ishu itabumbuluka siku sio nyingi trust me.
Au kama 'dini yake inaruhusu' basi aongeze mke wa pili ijulikane moja.
Mkuu usawa huu inahtaji moyo sana, huo mchepuko naishi naye kimtego mtego sana
 
Baba hiyo ngoma ni ngumu... tengeneza legend (tukio na identity ambayo haipo) then potea.. ukajipange upya
 
Mmh! Mbona kama ni vigumu kutokea kwa sababu sidhani kama hujawahi kumwambia unaishi wapi hiyo ni ngumu aisee.
Soma vizuri mkuu, rafiki yangu ameupiga picha huo mchepuko ukiwa mazingira ya nyumbani na amenitumia, ni kweli yeye
 
Aaah, kwa wanaume Ni possible kabisa, yaani nimeoa halafu nikwambie ukweli kua eti naishi sehemu flani? Ni lazima uwe mchepuko mstaarabu Sana na WA muda mrefu ndo nitakwambia napo naweza Tu kukutajia eneo, yaani nikakwambia Tu naishi Tabata.
Kweli mkuu,mchepuko huwezi uelekeza unapoishi na familia yako...ukiwazingua wanaweza fikaga kwa mkeo
 
Hizi stress naona mnajitafutia tu, naamini leo BP itakuwa juu na sukari itashuka tu. Matatizo mengine tunajitafutia tu.
 
Mkuu kuna ambao hawana michepuko na bado wanaishi nyumba za kupanga.Na kuna ambao wana mpaka wanne na wanaendelea kujenga.Kujenga ni mipango mkuu.Mpe ushauri nduguyo.
Fact mkuu, watu wengi wanadhani ukiwa na mchepuko au wanawake wengi huwezi Fanya mambo ya msingi sio kweli kabisa, maendeleo ni mipango tu ya mtu
 
Na vipi Kama yumo humu anasoma hizi taarifa, Hali kadhalika mchepuko wako, nashauri hivi, mpigie mchepuko mueleze ukweli, baada ya hapo, itunze family yako, hiyo ndo itakayo kuokoa kwenye shida na raha, achana na habari za mchepuko
 
nenda nyumbani na mwambie mkeo kuwa kuna ujenzi utafanya muda sio mrefu hapo kwako hivyo sio vizuri kupokea wapangaji na amua kumuhamisha chumba kingine nje na hapo kwako..!
huko mbele utajua sasa ufanyaje..!
 
Kama Ni kweli hii Ni issue rahisi Sana.

Fanya hivi, muite mchepuko stand/airport, nenda Naye hotelini, mgegede vizuri, halafu mwambie ukweli kua pale Ni kwani na ndiyo familia yenyewe! Yaani mwambie kwa sasa wewe unaishi kwa maslahi mapana ya familia yako, so yeye awe mpole mtaendelea kulana kihotel hotel,.

I hope ataelewa na atawahurumia wanao so hatoleta varangati, na ukiweza mtoe, kampangie sehemu nyingine.
Asante mkuu, ngoja nichanganye na zangu kwanza
 
Back
Top Bottom