Uliporuhusu Hilo pepo hukujua kama una mke. Ndio mshahara wa Pepo huoNilitokea kupata kamchepuko ila nilikaambia nina wife kiukweli ni binti mdogo miaka 20, sasa nilidanganyika pepo likanipitia nikapiga dry nikanogewa mwishowe akanasa mimba.Akaniambia alishatoa mimba 5 kwahii anaogopa kutoa asije toa na kizazi sasa imekua kero kila saa simu mpaka usiku nikiwa na wife nikimwambia haelewi kabisa.
Wakuu imefikia namwambia atoe hataki anatishia atamwambia wife nipo njia panda balaa isije wife akajua maana na wife ana mimba na ni mtata balaa.
Wakuu nifanyeje?
Wanaona sifa , mchepuko, mchepuko. Mchepuko Miguu yake .Avune alichokipandaEndelea kumtmba tu.... Kwani ulipokuwa ukimmwagia uliomba ushauri.... Hizi ndoa mlilazimishwa.....????
Vijana umalaya sio ishu.... Pumbavu sana, BWege
Hukulijua Hilo kabla?sitaki watoto tena
Hahaaafanye haraka sana nyau wewe.
swissme
Hutaki watoto tena?? Kwa nini ulimpiga dry kama kweli hutaki watoto? Why?sitaki watoto tena
Unakeraaaaaaaaaaa, we c ulipenda vitu kama picha yako. Koma.Nilitokea kupata kamchepuko ila nilikaambia nina wife kiukweli ni binti mdogo miaka 20, sasa nilidanganyika pepo likanipitia nikapiga dry nikanogewa mwishowe akanasa mimba.Akaniambia alishatoa mimba 5 kwahii anaogopa kutoa asije toa na kizazi sasa imekua kero kila saa simu mpaka usiku nikiwa na wife nikimwambia haelewi kabisa.
Wakuu imefikia namwambia atoe hataki anatishia atamwambia wife nipo njia panda balaa isije wife akajua maana na wife ana mimba na ni mtata balaa.
Wakuu nifanyeje?
Nilitokea kupata kamchepuko ila nilikaambia nina wife kiukweli ni binti mdogo miaka 20, sasa nilidanganyika pepo likanipitia nikapiga dry nikanogewa mwishowe akanasa mimba.Akaniambia alishatoa mimba 5 kwahii anaogopa kutoa asije toa na kizazi sasa imekua kero kila saa simu mpaka usiku nikiwa na wife nikimwambia haelewi kabisa.
Wakuu imefikia namwambia atoe hataki anatishia atamwambia wife nipo njia panda balaa isije wife akajua maana na wife ana mimba na ni mtata balaa.
Wakuu nifanyeje?
Da pole mkuu coz mimi kamchepuko kangu kanataka nikape MIMBA sasa nimepata funzi hapo kwako ila USIHOFU BRO yatapita tu usiwaze sana na amini tu kila jambo linakuja na wakati wake na hujui itakuja kuwaje huko mbele mimi nilimpa mchepu mwingine mimba du ilikuwa hTari san ila sasa yameshIshaNilitokea kupata kamchepuko ila nilikaambia nina wife kiukweli ni binti mdogo miaka 20, sasa nilidanganyika pepo likanipitia nikapiga dry nikanogewa mwishowe akanasa mimba.Akaniambia alishatoa mimba 5 kwahii anaogopa kutoa asije toa na kizazi sasa imekua kero kila saa simu mpaka usiku nikiwa na wife nikimwambia haelewi kabisa.
Wakuu imefikia namwambia atoe hataki anatishia atamwambia wife nipo njia panda balaa isije wife akajua maana na wife ana mimba na ni mtata balaa.
Wakuu nifanyeje?
Ndio urijali huu kaka.....jiandae kwa matunzo wanaweza jifungua pamoja ukaona maisha yanakunyongea chini kumbe starehe gharama.....nitakusaidia pampas moja kwa wotehaaaa naipataje mm mmoja akisema anatapika kwenye cm huku utasikia leo mimba inataka chips kuku daa yaani nakosa raha