Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,322
- 6,390
Mchekeshaji Said Said, aliyepiga picha na Rais Samia wakati wa usiku wa Tuzo za Wachekeshaji (Tanzania Comedy Awards), ameweka mabango ya picha hiyo katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo Dodoma.
Akiweka wazi gharama alizotumia, Said amesema ametumia zaidi ya TSh milioni 7 kutengeneza na kusambaza bango hilo, likiwa limewekwa Dodoma.
Soma, Pia: Mchekeshaji mzee Shayo apiga magoti kupokea bahasha ya maokoto kutoka kwa Rais Samia. Ampigia debe urais 2025
Said amesema picha hiyo ina maana kubwa kwake na ni sehemu ya kuthamini heshima aliyopata ya kupiga picha na kiongozi mkuu wa nchi.