Pre GE2025 Mchekeshaji mzee Shayo apiga magoti kupokea bahasha ya maokoto kutoka kwa Rais Samia. Ampigia debe urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
1,952
5,302
Wakuu

Hii ni aibu kubwa kwa vijana wa taifa hili. Mpaka rais anafurahia uchawa na kuona ni kitu cha kawaida tu!

===

Huu uchawa sasa umepitiliza, tazama mchekeshaji maarufu mzee Shayo akipiga magoti kupokea bahasha ya Maokoto kutoka kwa Rais Samia baada ya kumpigia debe urais 2025 kwenye tukio la Madhimisho ya Miaka 10 ya Programu ya Mwanamke Kiongozi Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam, leo tarehe 21 Februari,2025.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Aibu kubwa hii, nchi ina vijana wa hovyo sana hii.
 
Hongera zake
Asante sana Mh. Rais kwa zawadi
 
Mamlaka yanatoka kwa MUNGU , hana cha ajabu alichofanya hata Yesu alisulubiwa na kuteswa kwa mamlaka ya Ponsio Pilato.
 
Back
Top Bottom