Mchakato wa kuondoa umiliki wa hisa 51% za UDA kwa kampuni ya Simoni Group waanza

Inasikitisha sana serikali kukomaa kuwa hisa ziliuzwa kihalali, wakati mchakato mzima ulikiukwa haya mambo ndio yanayosababisha ccm iwe genge tu la majizi, kila kipengele kilikiukwa leo waziri mkuu anaonge hadharani kuwa 56% ni za simon group kwa sababu tu mwenyekiti wa chama anahusika inasikitisha sana.
 
Huyu Majaliwa ndio anadhibitisha kuwa hata kauki za bosi wake na nia yake sio za kweli. Wenye mali jiji kupitia baraza la madiwani wanasema waneibiwa kijanja mali yao, yeye anasema ni halali. Kwa nini naye asionekane ni mwizi pia kwa kushirikiana na mwizi?
Yeye anaunga mkono mchakato wa kuuza mali ya umma kwa kulipa fedha kwenye akaunti ya mtu binafsi?
Baraza la jiji lintangaze hadharani Majaliwa kuwa ni mlinzi wa wezi wa jiji
 
Hapo ndio inathibitika walio maliza nchi hii ni viongozi wa serikali kutoka ccm, Majaliwa ambae ni waziri mkuu kuongea hayo inasikitisha sana, hapo lazima jiji likomae mikataba iwekwe hadharani, tunakubali walinunua ila kwa njia haramu, hisa zirudi kwa wananchi.
 
Sambamba na ulirudishaji wa UDA, kama wahusika walioliingiza UDA katika matatizo bado wapo kwa nini wasifikishwe mahakamani kwa kuuza mali ya umma bila kufuata taratibu?
 
Nawashauri Simon Group wakubali bila mizengwe ili kulinda heshima ndogo sana iliyobaki ya kampuni yao , wakithubutu kwenda mahakamani watadhalilika kwa kiwango cha kutisha mno ! mengine mengi mno yatafumuka na majina kadhaa yatatajwa , hakuna haja .
kwan wa/mmiliki wa simon group ni nani?
 
DIDAS MASABURI KUUZA HISA 51% ZA UDA KWA KAMPUNI YA SIMON GROUP KUTOKANA NA KUTOFUATA TARATIBU.
huyu naye alichukuliwa hatua gani kwa kutofuata taratibu??? tatizo moja linaweza zaa mengine 100 hapo baadaye. folks, we should never take things for granted hata kidogo waungwana
 
masaburi on air.

No he is on the frying pan

hot-red-hot-frying-pan-19156014.jpg
 
Ukisikia mtu mzima na kiongozi anang'ang'ania kauli "hakuna aliye mkubwa kuliko chama" kila mara kwa mara, na baadae mke wake anakuja kuthibitisha kuwa mumewe ndo taita, ujue kuna shida, Mzee Magu ana kazi sana, huwezi kufanya kazi na CCM ukawa smart, never.
Cha kushangaza, pamoja na taarifa ya CAG, na kelele zote zilizokwishapigwa kuhusu UDA msimamizi wa mashirika ya umma, Mafuru tulitegemea awe upande wa serikali kwa maana ya serikali kuu na hata Jiji, chakushangaza yuko upande wa Kisena, simply sababu kuna mtu analindwa. Yan hii nchi ya ajabu sijawahi kuona.

Inasikitisha sana serikali kukomaa kuwa hisa ziliuzwa kihalali, wakati mchakato mzima ulikiukwa haya mambo ndio yanayosababisha ccm iwe genge tu la majizi, kila kipengele kilikiukwa leo waziri mkuu anaonge hadharani kuwa 56% ni za simon group kwa sababu tu mwenyekiti wa chama anahusika inasikitisha sana.
 
Inasikitisha sana serikali kukomaa kuwa hisa ziliuzwa kihalali, wakati mchakato mzima ulikiukwa haya mambo ndio yanayosababisha ccm iwe genge tu la majizi, kila kipengele kilikiukwa leo waziri mkuu anaonge hadharani kuwa 56% ni za simon group kwa sababu tu mwenyekiti wa chama anahusika inasikitisha sana.
Hakuna umma wowote katika dunia hii uliowahi kushindwa na genge la watu wanne .
 
Back
Top Bottom