Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,735
- 21,063
Mbwana ni Entity kubwa ya kibiashara kuliko "wauza duka wa mtaani".As long as nae ni Mtanzania ruksa kutoa maoni. Mbona kuna wauza duka mtaani wamechagua upande na husemi kitu? Au ni nani mwenye haki ya kuongelea kinachoendelea hapa nchini? Kama atachukiwa basi sababu itakuwa ni wao wenyewe wameamua na sio mtazamo wake. Au unafikiri Diamond kuchagua upande wa Ccm hajawaumiza wanaUKAWA?
Wauza duka wa mtaani hawawezi kuingia mkataba mkubwa na makampuni makubwa ulimwenguni kama Nike, Adidas, AIG n.k lakini Mbwana anaweza. Mbwana anaweza kuingia partinership ya mradi wowote mkubwa na serikali na akapiga mabilioni ya pesa. Kueni vijana mjue ulimwengu wa kibiashara.