Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,436
Balaaaaaaa aliyesema mtoa mada 100% ukweliAysee,

Piga bei hiyo ploti yako kisha mpe hizo hela atengeneze barabara, hawezi kutoa pesa yake mfukoni ajenge barabara.Huyu jamaa nilimkuta sehemu aloo ni mlevi balaa halafu ana kauli chafu sana,
Nataka nipige bei plot yangu maeneo ya huko maana sio siri barabara hazipitiki kweli full kunasa.
Ni katika wabunge ambao 2020 bunge wataliona kwenye Tv tu.
Ulitakiwa useme mapema nn wataka, kumbe shida yako n pesa?nashukuru sana kwa ushauri...naufanyia kazi..ila msalimu waitara kazi imemshinda...ukonga sio tarime...mjini lazima uwe na pesa ili uongoze ukitegemea kila kitu serikali utakwama....yameshamkuta
Wao wanaona sifa kuipinga "Serikali" bila kujijua kuwa na wao ni Serikali (Bunge). Wanadhani Meya WA Jiji Isaya ni mjinga anavyoshirikiana name Serikali. Ngojeni wapate sifa mitandaoni but 2020 iko mlangoni mwao.Habarini wanajamvi.....
Ilikuwa mwaka 2015 wakati mbio za uchaguzi zilipoanza na kipenga kupulizwa nikiwa mmoja wa vijana tusio na upande nikisubiri sera za wagombea kuzisikia ingawa kwa ccm sikutaka kabisa kumsikia mayor slaa kwahiyo nikawa na shauku ya kumuona mkombozi mpya wa jimbo la ukonga,.
Siku ilipowadia sisi vijana, bodaboda,madereva bajaji, wazee,akina mama kwa akina baba tulio wengi tulienda na waitara chacha tukiamini kuwa anakuja kuleta ukombozi uliotukuka wa Jimbo la ukonga.
Miaka michache iliyopita aliepata kuwa mbunge wa ukonga EUGEN Mwaiposa ambaye kwasasa ni marehemu tuliwahi anzisha vuguvugu la kumuondoa tulipodai barabara ya kutoka mombasa kuja moshi bar nakumbuka vikao vilianzia masika bar badae meseji zikapita tukaanzisha vikao vya watu ukonga pale uwanjani kwa temba hakika muitikio ulikuwa mkubwa hadi ukamfanya mwaiposa Eugen akiwa na mayor kuja kuzungumza na kuanza harakati za ujenzi wa barabara.
Nimeanza na historia ya nyuma kidogo ili ujue tulipotokea, tulipo na tuendapo. CHACHA WAITARA umepokea jimbo barabara zikiwa njema na za kutukuka, bodaboda wakiwa na furaha kidogo mombasa,banabana,gongo la mboto n.k.,umepokea jimbo likiwa njema kwa sisi wafanyabiashara na kulikuwa hakuna maonevu yoyote.
KIKAO KILICHOKAA UWANJA MPANA RELINI CHA WANYWAJI JUMAMOSI.
KUHUSU BARABARA.
KUANZIA NJIA PANDA-BANANA,BANANA-KITUNDA,MOMBASA-MOSHIBAR-MKOLEMBA-DIWANI,GONGO LA MBOTO-MAJOHE N.K. BARABARA KWA UJUMLA NI MBOVU SANA NA HAZITAMANIKI, MH.MBUNGE UPO DODOMA UKISIMAMA KUONGEA UNAONGELEA SIASA ZA CCM NA CHADEMA BADALA YA KUWASILISHA MALALAMIKO HAYO....Hii barabara usipokuwa makini hivi karibuni yatatokea kama ya mwaiposa na uzuri wa huku ukonga hatuna masihara.
SISI BODABODA NA BAJAJI..
Tulikupigania sana na tulifanya kampeni nyumba kwa nyumba,abiria wote tuliwaambia wakupatie kura mh. ila kinachoendelea ni usanii mtupu hasa kwa tunayofanyiwa..MH.WAITARA umetusahau na ututhamini tena, tunapigwa fines zisizo na msingi, diwani wako shehe mwaipopo nae sauti haisikiki tena kweli mpe mtu uongozi utajua tabia yake.
Tuliwahi muita diwani atusaidia kutengeneza kajibarabara pale mombasa ili bajaji na pikipiki zipite salama na kuondoa foleni barabara kuu ahadi hiyo imekuwa haitekelezeki na bado miaka miwili..mwambie mwaipopo tutamshangaza...
Hatuna amani ya kufanya biashara mombasa,gongo la mboto na hata banana sababu ya hofu ya fines zisizo na maana..
Yapo mengi ila kwa leo nikuachie na nukuu ya mwalimu nyerere
Kazi ya kuchagua viongozi ni kazi ya wanachama wananchi; kwamba jambo hili ni kubwa sana. Haifai kuchagua kiongozi kwa sababu ni mjomba, au binamu au ana sauti au sura nzuri. Wala haifai kuacha kumchagua mtu kuwa kiongozi kwa sababu kama hizo. Jambo kubwa ni kuchagua kiongozi mwenye tabia nzuri na anayeweza kazi. Hatuna budi tutii kanuni hii katika kuajiri wafanya kazi katika TANU au serikalini. Hawa pia hawana budi wachaguliwe kwa sababu wanaiweza kazi wanayoajiriwa kufanya, na ni watu wenye tabia nzuri.
Kujuana na ukabila vilituponza tukachagua uongozi usiotumikia watu, Endelea kula bata dodoma, bishana juu ya uccm na uchadema, siku zaja.....
Ni mimi mwanywaji wa pombe masika bar, Luko bar, na uwanja mpana(relini),mzambarauni, na big jons.
Habarini wanajamvi.....

Ungafafanua hizo Kazi za Mbunge BC km unazijuaKazi ya kujenga barabara ni ya serikali, sio ya mbunge, mbunge hakusanyi kodi, uliza ziko wapi 1.51T.
Kura za wananchi Ndio zinampa Ubunge, nyie bakini na vikao vyenu vya usiku kucha bado Waitara atachaguliwa kuendelea kutawala hilo Jimbo
Nyie mvimbisheni tu kichwa ila mwambie na ajue afanye hizo kufuru zake amalize kwani 2020 bungeni ndio bye bye.Piga bei hiyo ploti yako kisha mpe hizo hela atengeneze barabara, hawezi kutoa pesa yake mfukoni ajenge barabara.
Wewe ni mpuuzi, kwa kero za gongo LA mboto waitara akipata tena ubunge nitajua wakaz wa hayo maeneo hawana akili za kutosha, waitara hana mpanga wa kugombea tena na ndo mana amecool, miaka 5 inamtosha kama hana aibu asimame 2020Bado sijaona mtu wa kumuondoa Waitara Ukonga 2020.
Ila kwakuwa ni demokrasia tunatarajia kupata mshindani kutoka ccm ili amsindikize.
Kazi za kimaendeleo zilizofanywa na Waitara kwa kipindi cha miaka miwili ni zaidi ya wabunge wote waliomtangulia. Kuanzia kwenye miundombinu ya elimu, afya, barabara, maji, uwezeshaji kiuchumi na kuwasilisha mahitaji ya wana Ukonga serikalini kupitia bunge la JMT na vikao vya baraza la madiwani.
NB:
Waitara hakushinda ubunge kwasababu ya vikao vya Wanywa mataputapu bali kwa hoja muhimu zinazogusa maisha ya wana Ukonga lakini pia na uwezo wake wa mikakati ya ushindi kupitia watu makini katika team yake ya kampeni na pia uimara na mshikamano wa wanachama wa Chadema.
Kuhusu Waitara kutokupatia fedha kwa mambo/matatizo yako binafsi hayana tija kwa muktadha huu na sio maslahi ama mahitaji ya wapiga kura wa Ukonga.
[HASHTAG]#Ukonga[/HASHTAG] ipo katika mikono salama ya Waitara.
Wewe ni mpuuzi, kwa kero za gongo LA mboto waitara akipata tena ubunge nitajua wakaz wa hayo maeneo hawana akili za kutosha, waitara hana mpanga wa kugombea tena na ndo mana amecool, miaka 5 inamtosha kama hana aibu asimame 2020
Wewe nae huko ulongoni umehamia lin mpaka utake kusikia kelele za mbunge?? Miaka zaid ya 50 hkn barabara hilo daraja tu linawapa shida mvua zikianza.Mkuu nakuhakikishia hakuna wakumchagua waitara tena hata yeye anajua, Mimi nakaa Ulongoni B hali ni mbaya mbunge hata kuipigia kelele serikali wapi, nyumba hadi nyumba wanalaani kwa kumchagua
Povu la nn, kama unamjua vzr mbunge wako mfate kwake umalizane naeStupid, namjua mwita Ndani nje, tangu amemaliza mlimani, alivyosota kwa kukosa kazi, alivyosota office za chadema kushikia watu miamvuli mpaka kupewa nafasi ya kugombea chadema tena kwa nguvu, mwita hawez nipa posh mm labda wengine, hapa tunaongelea uhalisia kabisa, mwita Hakua na uwezo wa kua mbunge, na ndio maana hata wakaz wake hatusikii kelele zake serikalin zidi ya kero za wakaz wake,
mwita maranya unaleta ukabila katika masula nyeti kabisa ya jimbo la ukonga.....Bado sijaona mtu wa kumuondoa Waitara Ukonga 2020.