BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,125
Na huyu fisadi anafanya nini hapa? Kachukua kiasi gani toka kwa Lugumi mpaka apate kigugumizi cha kutisha huyu aliyejinadi kwamba kajitoa kafara ili kupambana na mafisadi?
huyo mdada hapo pembeni ya kubenea ni mbunge wa viti maalum? nimempenda ni mrembo sanaMhe Saed kubenea akiwa jimbo la kibamba akipiga kazi aliyoagizwa na Wananchi WA eneo hilo,eneo la SUCA nyuma ya stand kuu..
MH. baada yakuondolewa bungeni amerudi Jimboni na kuleta kampuni toka ISRAEL. ambayo inajenga barabara kipande kutoka SUCA kilichopo jimboni kwa JOHN MNYIKA mpaka GOLANI ambapo ni jimboni kwake.... MH. KUBENEA.
NILIKUWA NAOMBA MNO WABUNGE WOTE WA UKAWA WAPEWE ADHABU ILI TUPIGE KAZI SASA MAJIMBONI KWETU MAANA HUU NDIO MUDA WENYEWE MANA KAMA MIDOMO WAMEZIBA, NINAJUA WATAHAMIA KWENYE MAJIMBO YENU KUWEKA VIKWAZO.
Kazi inafanyika kwa Ushirikiano Mkubwa WA Wabunge hao vijana chino ya chama chao.
Mungu awape hekima kuliko Za akina Suleiman ili Mtende kwa Uadilifu na weledi.
Hanna watu wanaoniacha hoi kama huyu jamaa!!!!Hivi huwa umekosa ubunifu kabisa uanzishe kabiashara kako kuliko kutumika kila kukicha??Mana kila siku unashinda huku afu hela yenyewe ndogo tu 7000.Kuwa mbunifu bro umri hausubiri
T 324 DBW
Aisee mwenye namba ya haka kamdada pleasee
Kuifahamu naifahamu ila sijawahi fika Kyela. Naifahamu kuwa ipo mbeya. Hoja yako nini Mwanamke wa kihindi hawezi kubeba mimba akiwa kyela?Hivi wewe mamluki unaifahamu kyela au unatumika tu humu jf ?
CCM muwe makini na ukawa sasa hivi wameshapoteza uelekeo ndiyo maana wanatafuta kiki kwa nguvu sana wanadhani tunasahau walichotufanyia bungeni wameludi majimboni bila kitu sijui tuliwatuma kutalii.
Njaa haina baunsa mjomba .Hanna watu wanaoniacha hoi kama huyu jamaa!!!!Hivi huwa umekosa ubunifu kabisa uanzishe kabiashara kako kuliko kutumika kila kukicha??Mana kila siku unashinda huku afu hela yenyewe ndogo tu 7000.Kuwa mbunifu bro umri hausubiri
Kamwombe Mh. Kubenea
Aisee mwenye namba ya haka kamdada pleasee
Hana jimbo , jimbo lake ni ile ofisi ndogo lumumba na atawajibika kupeleka ripoti ya vurugu zake bungeni kwa bosi wake Ole Sendeka .Tulia baada ya Bunge anarudi Lumumba kuandaa mipango kubaka democracy
Kama wewe.Tatizo kila akisimama kuongea, anaongea pumba
Usiingilie usiyoyajua maana maeneo mengine utakuja kulishwa za uso .Kuifahamu naifahamu ila sijawahi fika Kyela. Naifahamu kuwa ipo mbeya. Hoja yako nini Mwanamke wa kihindi hawezi kubeba mimba akiwa kyela?