R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,576
Shughuli ya Ujenzi wa Barabara ya kupita wananchi inayoonganisha kata ya Bakoba na Kibeta, Eneo la Nyakanyasi umefanyika chini ya Usimamizi wa Mh. Wilfred Mugnayizi Lwakatare, ikiwa ni sehemu moja ya hapo ya shughuli za kuboresha maendeleo ndani ya Manispaa ya Bukoba.
Shughuli hizo zilifanyika pia chini ya Diwani wa kata ya Bakoba Mh. David Mwakyoma akileta tija kwa wananchi wake wa Kata hiyo kwa kuonyesha nguvu kazi ndani ya shughuli nzima kwa kusaidiana na Wananchi kwenye ujenzi wa barabara.
Msaada uliotolewa na Mh. Lwakatare ni pamoja na Cement mifuko 7,Mchanga , Kokoto, Mafundi, nguvu kazi Motisha, Mawe Trip2 yenye Jumla ya Gharama shs. 600,000. Mh. Lwakatare alishiriki mwenyewe kwenye umwagaji wa Zege na usombaji wa Mawe katika shughuli hiyo.
View attachment 316974 View attachment 316975 View attachment 316976 View attachment 316977 View attachment 316978
View attachment 316979
Mbunge Lwakatare akishiriki katika Ujenzi
Lwakatare ameamua kuing'arisha Bukoba kwa kuanza na zile sehemu Korofi za Barabara, Muda wa Siasa na uvyama umeisha Bukoba, Sasa kila mtu anajikita katika kuletea Maendeleo na Kuufanya mji wa Bukuba uwe mji wa Mfano kuwa Usafi na Miundombinu Bora. Sasa ni kazi mwanzo mwisho.
KASHAANZA KUHUJUMU PESA YA MICHANGO YA HARAMBEE:
TUMECHANGISHWA PESA JUZI ; ANATAFUTA NAMNA YA KUZITAFUNA
KAMA ALIVYO HUJUMU PESA ZA ABANA BASHOME; MWIZI MKUBWA...