Elections 2010 Mbunge wa Arusha apigwa hadi kuzirai na jeshi la polisi

Sasa na hii issue ya Bastola imetoka wapi?????

Mkuu wamempiga na kumvua shati mbele ya watu waliomshuhudia akiwa kwenye gari,defenitly anatembea na silaa hiyo,unajua ukamataji wa polisi sio wa kistaarabu hivyo ilionekana na pendine kudondoka,lakini jambo la kuitoa siyo kweli,vyombo vya habari vitatupa the real situation nimejaribu kuongea na IGP alieko huko amegoma kusema lakini anajua mambo yote hata RPC mwanzo ameonyesha ushirikiano lakini baadae aKAPOTEA.
 
Wana JF na Watz wote wapenda amani wenye kuitakia nchi hii mema, hizi habari za arusha zina tia kichefuchefu. Kama ni kweli yanayosemwa hapa ukumbini yametokea hapo Arusha basi nchi hii haina Utawala. Kikwete na genge lake la CCM ni wahuni tu walioshika madaraka.

Wheter Lema will recover or not, CCM needs to be taught a lesson which they'll forget Not.
CCM ni washenzi, wanataka kutuletae mambo ya akina Ruto na kina Uhuru Kenyata!
Hebu CCM mjifunze toka kwa majirani zetu. Kumbukeni tu kwamba Ocampo yuko tayari wakti wowote kuja kuwashughulikia very soon mara tu huu uchochezi mnaoufanya utakapopelekea UMWAGIKAJI WA DAMU KWA MAELFU.

CCM msifikiri kuwa huu ushenzi na ukaburu mnaoufanya kwa Watanzania unakubalika! You gonna pay for these rubbish one of these days.

Tell your illegimate President Kikwete to face the oncoming storm which no bullets,no bombs, no army catepillarS shall stop it!!!

Pambaf kabisa.
 
mkuu lema hakutukana ila alianza kuhoji na kutoa tamko kwa madiwani wake kuwa nao wachague meya ili wapepo meya wawili ipatikane nafasi yakwenda kuhoji mahakamani ndipo mkurugenzi akaagiza akamatwe na polisi waliokuwa ndani.
msingi hapa kosa kubwa la kwanza polisi hawaruhusiwi kuwa ndani ya kikao cha concil kwanini kikao cha kikatiba kama cha bunge.
Hao polisi waliokuwepo ndani,walikuwepo kwa misingi ipi au kanuni zipi?.Je?, kwenye vikao au mikutano ya Bunge huwa polisi wanakuwepo ndani?.Jamani sisi wote kama watanzania inabidi tufike mahali tumwambie Kikwete inatosha kutumia vyombo vya dola kwa maslahi binafsi ya chama chake.Inakera,Inaudhi na Inasikitisha sana tunavyofanyiwa na hawa madikteta wakubwa katika nchi yetu.Lakini ipo siku,si mbali wataona tu.
 
Heshima kwenu wanjamvi,


Mwenyekiti wa kikao cha uchaguzi wa Meya Bwana E Chang'ah aliamua kufanya mawasiliano na ofisi ya waziri mkuu.Waziri wa nchi Tawala za mikoa na serekali za mitaa alitoa maagizo sheria zifuatwe kwa kuwa idadi ya wajumbe ilifikia nusu mchakato wa uchaguzi ukaendela bila ya wajumbe wa CHADEMA kushiriki kwenye kikao.Wajumbe wa CHADEMA wakajulishwa Meya tayari kachaguliwa wakaamua kuingia kwenye kikao wakiongozwa na Mheshimiwa Mbunge G Lema.Zilitokea purukushani za hapa na pale Lema akachomoa bastola FFU wakmvamia na kumpokonya na kumpiga vibaya sana.

Huo ndio ujuaji usio na maana yoyote... Anastahili kukipata alichokuwa anakitafuta!
 
Ndugu zangu,

sasa nchi yetu imefikia pabaya,tumekuwa tukijadili kuwa uchaguzi uliopita haukuwa halali hatakidogo.Jana katika wilaya kadhaa kumekuwa na uchaguzi wa meya ikiwamo halimashahuri za mwanza,Arusha,kilimanjaro,msoma.ukerewe na hai.

cha kushangaza halmashahuri zote zinazochukuliwa na chadema zimepata shida sana ikiwamo kupigwa na kuumizwa vibaya.

Katika mkoa wa Arusha jana waliahirisha na leo viongozi wale wa mji wa Arusha wameamkia katika ukumbi na kukuta CCm wameamka saa kumi usiku na kupiga kura bila kuwaharifu madiwani wa chadema.ndugu zangu hii si halali,ninapoongea sasa Mbunge lema amepigwa na polisi mpaka kupoteza fahamu na bila hata haibu wamemfungia chumbani.

IGP na viongozi wa juu wa polisi wapo Arusha na baada ya kupata taarifa hizi wameacha kupokea simu.

Jamani mimi nafikiri mwisho wa kuionea au kuibembeleza CCM umefika hapa hakuna Democrasia.sheria inasema any election should be free and fair.

NA POLISI HAWARUHUSIWI KUINGIA NDANI YA KIKAO CHA COUNCIL KWANI NI KIKAO KAMA CHA BUNGE.

inasikitiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisha sana na moyo wangu unamajonzi.

Manina zao kabisa hawa CCM hivi wao wanadhani wako juu ya sheria ama namna gani?
Kwa nini walete mamluki na kwa nini hao TAMISEMI wakubaliane na uchafu ulio wazi kabisa?
Nishasema amani Tanzania haipo na kwa tuliochoka itafikia kujilipua kama watu wa Iraq huu ni mtandao wa kifisadi lazima upo behind dis sheet
Na ninasema hivi iko siku watu watashindwa kuvumilia na haki itatafutwa kwa nguvu ...CCM u just stay tuned!
 
Peoplessss....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ar u suprised on this, what comander in chief said that Security should be on alert!! what did you expect!!?? mhhh I know the freedom is very close
wanatumia strategy za zamani kujustufy their modern existence! that canot work neither on earth nor in hell!!. na hii damu itawatafuna inside out!!
 
This is not fair, no justice, total humiliation beyond human nature or endurance, no dignity, shame on CCM, CHADEMA must act legally to demand their rights in court na hata kuueleza public
thru media, huu ni uonevu na wananchi wajulishwe kila kitu CCM wanachofanya wazi na nation wide, bila muda kupita au kuchelewa, na nasema kampeni za 2015 si za CHADEMA sasa ni za sisi wananchi tutapiga nyumba kwa nyumba, tusisubiri hadi 2015 now is a right time, kama tunahitaji CHANGE ni sisi wananchi tusisubiri viongizi wa CDM pekee, na Tundu Lissu + Mabere walishtaki jeshi la Polisi kwa hili.
 
Hapo ndio polisi wa TZ wanapata credit kwa kuwa unprofessional. Mtakumbuka aliyekuwa RPC Arusha Bw. Basilio alivyohandle uchaguzi in a professional way kwa kutokuprovoke fujo ili ionekane CDM ni watu wa fujo. Sasa aliyekabidhiwa ofisi ndio anajaribu kuwaonyesha waliomteua kwa RPC Arusha what he is capable of.

Ushauri kwa RPC Andengenye ni kuwa hao askari ni raia wa TZ na kama hicho ndicho anapanda kwa watu wa Arusha time will tell who is right and who is wrong.
 
Hizi ni gharama za ukombozi, huko South Africa Chris Hani na Steve Biko walikufa, Mandela na wanaharakati wengine walifungwa bila sababu.

Tell my people that we shall die for the sake of this Nation.

Amandlaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
yaani hapa nilipo nimechoka nafikiria kipi cha kuwafanyia hawa ccm ili moyo wangu upone..
 
Tatizo la ujuaji mwingi...
Kibs, huwezi kuleta suh a sweeping statement wakati haki na uhai wa mtu viko hatarini

Ujuaji mwingi kwamba CCM wamepiga kura bila CHADEMA?
ujuaji mwingi kwamba LEma amepigwa hadi kuzirai?
ujuaji mwingi kwamba wapinzani hawana haki?
au nini hasa?

this is too low of you and surely i didnt expect you woudl come in a MS kind of mentality

Maybe i am blind to think there a few good people remaining in CCM right now
 
Lazima tuanze kwa kuchukua hatua za kisheria ili kuthibitisha kwa ushahidi kuwa mahakama zinatoa hukumu za kupendelea.

Yasipofunguliwa mashtaka, hili suala la mbunge kupigwa litakuwa limepita tu hivi hivi kwa kuwa hizo hatua ambazo si za kisheria nazo hazijachukuliwa.

Kuna sheria Tanzania ndugu yangu!? Tungekuwa na sheria mafisadi wote akina Rostam, Manji, Chenge, Mkono na wengineo wangekuwa wanaozea lupango na hata wasingeruhusiwa kugombea Ubunge lakini wote bado wanapeta tu. Sheria zitakubana kama wewe ni mnyonge na huna kingunge unayemfahamu ambaye atakukingia kifua.

Si unakumbuka Shujaa Slaa walimwekea vinasa sauti chumbani kwake kule Dom miaka inakatika tu umeshasikia polisi wanasema chochote kuhusu uchunguzi wao umefikia wapi? Kwa kukufahamisha tu ni kwamba hakuna uchunguzi wowote uliofanyika. Pole sana Mh Lema.

 
Nafikiri kesi ya Kigoma na Arusha ni kesi mbili kidogo tofauti.

Kesi ya Kigoma imekaa zaidi kisiasa na uongozi wa NANI ATAWALE.

Kesi ya Arusha imekaa zaidi kibiashara na zaidi ni VIWANJA.

Madudu ya viwanja vya Arusha ni Mazito sana na watu lazime wawe wakali ili wasinyang'anywe ardhi zao.

Ila hizi ni mbio za sakafuni. Ona wengine wanamtisha Waziri Tibaijuka sasa. Huyu mama akija Arusha, watu watalia.

Kuna ile kesi ya Viwanja vya juzijuzi ambavyo nilisoma hata Ridhiwan alipewa. Hiyo na vile viwanja vya Lowassa inaleta jibu moja tu kuwa lazima watapigana usiku na mchana ili Meya atoke CCM na huyu Meya kazi yake itakuwa kulinda Maslahi ya Mafisadi.

Ila Chadema lazima waendelee na utaratibu wao wa kuchagua Meya kama wao ndiyo wenye madiwani wengi. Mji uwe kama kwa wenzetu wenye marais wawili. Labda ndiyo njia pekee iliyobaki dunia hii.

Ahh, msimjali sana Kibunango maana yeye ni Mzenji. Nafahamu kuwa Vita yetu sisi ni furaha kwao. Wakati wao wanachinjwa, anaamini kabisa sisi tulifurahia. Sasa sisi tukichinjwa, kwa nini yeye ASIFURAHI? Nina imani kuwa wengi wa Wazenji wana mawazo kama haya ingawa SI WOTE. Hii ndiyo Tanzania.
 
Back
Top Bottom