Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,932
Sugu ana inferiority complex ,na anahisi akiongea kingeleza basi angalau na yy ataonekana msomi kama wabunge wengne.
Nadhani unafahamu mdogo, sijasikia sehemu yoyote akichanganya English na Kiswahili maana yake kiswanglish. Au hujui maana ya kuchanganya, acha nikuelimishe, kuchanganya ni kudurufu maneno yaani, mf:-yesterday jana nilikuwa Mbeya. Hapo amechanganya, lakini akisema yesterday nilikuwa Mbeya hapo ameongea sentensi iliyokamilika ila ametumia kiingereza na kiswahili. Acha ushabiki kijana.